Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Baada ya kuukata ualimu sasa ameamua kukataa na uanaume?
Ndiyo. Kuna uzi aliandika anatamani kuwa mwanamke. Kuna comment yake nyingine alisema akipewa milioni kadhaa atatoa kinyeo chakd. Kimsingi ni mtu anayejutia vitu vingi ikiwemo huo ushoga alio nao.
 
Ndiyo. Kuna uzi aliandika anatamani kuwa mwanamke. Kuna comment yake nyingine alisema akipewa milioni kadhaa atatoa kinyeo chakd. Kimsingi ni mtu anayejutia vitu vingi ikiwemo huo ushoga alio nao.
Basi nawahasa waalimu wasiangaike kujibu chochote kweny uz wake due yawezkana yupo desperate sanaa na maisha.....anajicomfort kwa kuwasema waalimu.,.na wanavyoendelea kumjibu ndo anapata munkari wa kuleta uzi nyingi kuwakandia
 
Ujinga gani tena jamani?
Kusema walimu ni maskini, ?
Huko kijijini kwenu ni mwalimu gani kabla ya kustaafu anamiliki gari ya mil. 40 au nyumba ya m. 70?
Kwani kumiliki gari ya 40m na mwenye gari ya 10m yote si magari au? Kila mtu ana standard zake boss
 
Wapo wengi
Utajiri Au umaskini ni akili ya MTu,MBna raia wengi ni maskini hohehahe na ndio wengi hawasemi? Mjinga huyo
hv unatumia akili ? mwalimu ndio muandaaj wa kizaz cha kesho , so incase anaowaandaa hawapi hopes unategemea nin ? mada mmeibadili na mnadiscus off topic , badala kujadili bango , mpo busy kudai huyu ni mpwayungu au sio mpwayung , km ww ni mwl ebu Weka hoja kumcrush mdau hapo
 
hoja imetelekezwa na watu weny iq ndogo wapo busy kujadili profile ya mleta thread km ni mpwayung au sio mpwayung wkt kashawaambien kajitambulisha kweny jukwaa la utambulisho , lets be serious , Walimu wapo humu ku crush thread ila thread inalenga kuwapa haki zao
 
Nilitaka nishangae!! Usifungue Id ingine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwani yungu ile ban ni ya milele, sinni ya muda tu? sísi fan wako tunaokufuata kimyakimya tuko na wewe kihisia tutakusubiri ukiwa bado unatengeneza concoction za kutibu maradhi sugu ya hawa wanajamii muhimu sana ktk jamii yetu.
Tuko pamoja tunakusoma na kukuelewa kimyakimya.
 
Kwan hawapo waalimu wenye pesa Zao n'a miradi kibao? Kwann Ana generalize?
Mbona wananchi ni maskin hawasemi
Umaskini au utajiri ni akili Yako tu hâta kama ni muokota makopo
 
Nagulo village japo wewe ni mpawayungu uliyerudi kwa jina jipya, nitaendelea kuratibu mwenendo wako. Kama utaendeleza uchochezi na dharau, utakipata. Pia nikujuze tu kuwa mna CWT, mna TSC, mna Teachers clusters na kubwa zaidi TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Peleka madai yenu huko. Walimu wengi hawapo humu. Unawachochea wenzio kwa kutumia Saikolojia huku pia ukiwadhalilisha.

Nakupa muda wa kustaarabika sasa, tumia mbinu mujarabu kuwasilisha hoja kwa wahusika kwa sababu humu jukwaani upo huru ila uhuru usitumike kuudhi, kudhalilisha na kukera na hata kuchochea.
Asanteeehh.
 
Pia nikujuze tu kuwa mna CWT, mna TSC, mna Teachers clusters na kubwa zaidi TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Peleka madai yenu huko. Walimu wengi hawapo humu.
Kama ndivyo hivyo, basi hata hoja za kisiasa nazo hazipaswi kuwekwa humu kwasababu kuna serikali za mitaa/vijiji, wawakilishi wa majimbo (wabunge), watendaji, wakurugenzi nk, na wengi hawapo humu.

Unapomzuia mtu kusema kile anachoona ni sahihi, unamnyima uhuru wake na madhara yake ni makubwa. Ajibiwe kwa hoja
 
Yaani wewe umejiunga jana Mpwayungu umemjulia wapi?
Sijui kwanini unamchukia huyo mtu?
Mbona mi niliwafahamu akina extrovert, genta, mzizi mkavu, na wengine wengi kabla hata ya kujiunga na jf?

Tumpe uhuru wa kutoa maoni yake kuhusu walimu labda kama kuna kingine amefanya. Ila kama ni kuhusu walimu, mengi anayosema ni ukweli mchungu!
 
Uandishi wa mgeni tunaujua, Huu ni mwendelezo wa pale alipoishia mpwyng bila kupepesa macho
 
Bora umemjibu
 
Mbaya sana kufananisha member flani Kati si yeye. Ni kosa kulingana na sheria za jamiiforum. Hata wewe utashugulikiwa

Onyo. Mimi sio mwayungu village
 
Yungu ni nani?
 
Hawa washachanganyikiwa
 
Namm sijali walimu wasiojitambua, napambana Kwa wale wanaojielewa na watakao kuwa tayari kuelimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…