mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Ndiyo yeye tapeli huyoEndapo itagundulika wewe ndio mpyayungu village utapata taabu sana.
Trust me dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo yeye tapeli huyoEndapo itagundulika wewe ndio mpyayungu village utapata taabu sana.
Trust me dogo.
Wewe mpwayungu village una matatizomwisho wa siku, majina yetu kaka naguna yataandikwa kwenye vitabu vya historia na kufundishwa vizazi na vizazi kwa sababu ya kufumbua macho walimu na hii kada itapendwa sana.
Lkn mpka hayo yatakapofanyika zaidi ya hapo ni KATAAA UALIMU NI UMASKINI
Ujinga gani tena jamani?
Kusema walimu ni maskini, ?
Huko kijijini kwenu ni mwalimu gani kabla ya kustaafu anamiliki gari ya mil. 40 au nyumba ya m. 70?
Mwandiko WA mpwayungu village kabisaMbna nafananishwa na mtu mwingine. Ina maana walimu wanachukiwa na mtu mmoja.
mimi nawachukia walimu kwasababu wanatumika na wanasiasa wa nchii hiii
JITAMBUE
Yaani kwa mwandiko huu... Wewe ni mpwayungu village welcome back,Kwahiyo mtu akigusa mada ya walimu tayari ni mpwayungu, Kuna memba wa hili jukwaa wanachekesha sana, halafu mbona Hakuna kibayaa sijui kwann mna hasira au nyie ni CWT
Huyu mpwayungu ni mshamba WA teknolojiaYule jamaa aliiitwa mpwayungu village, na wewe mgeni una jina lake la "village" ,mada zenu na mwandiko unafanana kabisa.
Hivi mods hamuoni wahuni kama hawa?,
Huyu jamaa atafanya nikienda dodoma niwaone wagogo kama hawana akili,sababu ya ujinga wake tu.
Wewe ni mpwayungu village alafu Wewe ni mshamba mnoKwahiyo mtu akigusa mada ya walimu tayari ni mpwayungu, Kuna memba wa hili jukwaa wanachekesha sana, halafu mbona Hakuna kibayaa sijui kwann mna hasira au nyie ni CWT
Wapo wengiUjinga gani tena jamani?
Kusema walimu ni maskini, ?
Huko kijijini kwenu ni mwalimu gani kabla ya kustaafu anamiliki gari ya mil. 40 au nyumba ya m. 70?
Kwani kila aliyesomea ualimu ni mwalimu? Wangapi wako huko bungeni, wafanyabiashara, managers nk ambao walisomea ualimu lakini kwa sasa si walimu na wengine hawajawahi hata kushika chaki?Huyu mpwayungu ni mshamba WA teknolojia
Alikuw anabisha yéyé SII mwalimu ilhali threads zake za nyuma akiomba ushauri WA diploma yake zipo
Alkuwa hajui kuwa Kila kinachoandkwa kinakuwa recorded,ni mshamba mno
Jibuni hoja za mpwayungu village sio kusema Hana akili....??Yule jamaa aliiitwa mpwayungu village, na wewe mgeni una jina lake la "village" ,mada zenu na mwandiko unafanana kabisa.
Hivi mods hamuoni wahuni kama hawa?,
Huyu jamaa atafanya nikienda dodoma niwaone wagogo kama hawana akili,sababu ya ujinga wake tu.
Ndoalikuwa hivyo, basi alikuwa mshamba ila mawazo yake Yana akiliHuyu mpwayungu ni mshamba WA teknolojia
Alikuw anabisha yéyé SII mwalimu ilhali threads zake za nyuma akiomba ushauri WA diploma yake zipo
Alkuwa hajui kuwa Kila kinachoandkwa kinakuwa recorded,ni mshamba mno
Na Wewe ni mjinga namba mbiliKwani kila aliyesomea ualimu ni mwalimu? Wangapi wako huko bungeni, wafanyabiashara, managers nk ambao walisomea ualimu lakini kwa sasa si walimu na wengine hawajawahi hata kushika chaki?
Sawa. Uko sahihi!Na Wewe ni mjinga namba mbili
Ualimu ni taaluma na sio kufundsha,unaweza kuwa mwalimu Lkn usiwe darasani
Kwani ukiwa mwalimu alafu ukaacha kazi utakuwa dokta? Si BDO utakuwa mwalimu?
Mbaya zaidi na mm wanasema ni mpwayungu, hawa watu washachanganyikiwa unajua mtu akila za uso anaona kila kitu ni nyota, hata jiwe wao wanaona ni nyota tuu. Wangekuwa wanajibu hoja wao wanaattack I'd ya mtuJibuni hoja za mpwayungu village sio kusema Hana akili....??
Na mtatumia nguvu nyingi kuzima hii CAUSAL BURNING...
HOJA HAZIPIGWI RUNGU By JK
Ila ujue tu kwamba kuna watu wamesomea fani zaidi ya moja. Sasa sijui utampa cheo gani? Alisomea ualimu akaachana nao akaenda kusomea sheria, uandishi wa habari, udaktari nk....Ualimu ni taaluma na sio kufundsha,unaweza kuwa mwalimu Lkn usiwe darasani
Kwani ukiwa mwalimu alafu ukaacha kazi utakuwa dokta? Si BDO utakuwa mwalimu?
Mpk nakua nili be inspire kua mwalimu kutokana na WALIMU niliona kua nao karibu kimakuzi badaee nililikwepa hili Shimo......Kwani kila aliyesomea ualimu ni mwalimu? Wangapi wako huko bungeni, wafanyabiashara, managers nk ambao walisomea ualimu lakini kwa sasa si walimu na wengine hawajawahi hata kushika chaki?