Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

We jamaa uwe unaheshimu kazi za watu.
Kama wasingekuwa hao waalimu kujitolea kukufundisha mpaka ukajua kuandika hiki kiswahili Wala usingekuwa na uwezo wa kuja humu na kuandika hizo pumba zako.

Hizo chuki unazoendekeza kwa waalimu haziwezi kukuongozea faida yoyote tofauti na kukufanya uonekane mjinga Zaidi mbele za watu.
Wajinga tu njaa tupu
 
Mkuu nishakwambia wanaume tukiwa tunaongea kaa kimya bana pia wanawake wakiwa wanaongea kaa kimya kabisa because you are not belong to either two groups kuna wenzako wanaandamana huko subiri muanzisha uzi wenyu
Mkikosa hoja ndo mnabwata hv
 
Nje ya mada your post does not relate the topic at hand.
But in a logical arguement there ought to be references made to consolidate the topic under discusion. For example, huwezi kujadili kilimo alafu usigusie hali ya hewa, mabadiliko ya tabia nchi, ukame ukataji miti, masoko, miundombieu nk.

So jibu swali, umeshaanza kupakwa glisi ?! Ili tulinganishe utashi wako na hao walimu
 
Mama Samia kuwa wa mfano Kwa kuwainua walimu Tanzania,utakua umesaidia vijana wengi kupata ajira,kuiboresha elimu,kusaidiwa jamii kiuchumi watatuma pesa nyumbani na kupunguza ugumu wa maisha Mwenyezi Mungu akusimamie katika hili Amin(Na iwe hivyo).
Haya ndomaneno, naasipowapa maslahi bora nashauri walimu waandamane
 
Back
Top Bottom