Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mimi ni mwalimu nimetoka kula hivi 😁😁
Img_2023_03_14_08_21_54.jpeg
 
Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara

Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
champion wa JF mpwa kama mpwayungu
 
Usicheke mkuu,yeye mwenyewe mwalimu mwenzangu mpwayungu village alishwahi leta thread humu kuwa anasaafiri Kwa V8 Toka dar mpaka bukoba na alipoombwa ushaidi akatuletea picha ya V8 la mtandaoni na watu wakamuumbua

Hivyo hakuna jipya hapa,labda yeye ndo ajaribu kuprove kama hiyo picha ni ya mtandaoni
 
Back
Top Bottom