mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
DSM or?Geneva of Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DSM or?Geneva of Africa
Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
Niliposoma tu "title" nikajua tu lazima ni wewe..Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
HelloI swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
AaaaaaahaaaaSina elimu ya kipumbavu ambayo mwalimu anayo
AahaaaNi ngumu kupambana na ukweli! Sema ukweli unauma.
By the way, lawama hizi zingeiendea mamlaka ya walimu na siyo walimu.
Nipe hiyo koneksheni mimiSi ulisema mwenyew unataman kua MWANAMKE..ukiwa tayar niakufanyia connection ya mwanaumwe mwenye maisha safi ILI AWE ANAKUNUNULIA CHIPSI NA KIDALI NA MACHO MATATU HUYAPATE.
GENERALLY WE JAMAA NI JAU ITAKUA UNAMATATIZO YA HORMONE PIA NA SAIKOLOJIA NENDA KAMUONE DAKTAR
Nadhani keshabadilinjinsia,tujiandae na uzi wake atakaouleta akifurahia matunda ya kuwa keUmeacha kujuta kuzaliwa mwanaume?
Habari zetu anazijua,tulimgongesha akiwa mdogo shuleni na tunamgongesha sasaWalimu mnamshindwaje mtu mmoja tu
Aaahaaaah,acha sema utakuwa unaiokotea Kwa chiniNimekufuru nini, MIMI nimeongea kuhusu kazi kwamba kuokota makopo Kwa upande wako ni bora nanitakuwa huru ila sio kuwa mwalimu
Toa mwongonzo,wajuba turuke na weweNdoakili zenu walimu, swali lako ni nje ya mada
Huyu ni mental caseKwamba muokota makopo ana uhakika wa bima ya watu 6?
Kwamba ikitokea amekufa ana uhakika wa mafao?
Kwamba muokota makopo ana uhakika wa kazi miaka 20?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
AhaahhaWahuni wanaulizia connection daah hizi mambo sio...mwanzo nilijua ni mashine ya jamiifirums ila nimegundua ni mswahili mmoja aliwahi pita DUCE akakamatwa semester ya pili...
Zezeta katika ubora wakoWalimu ni mazezeta yaliyo changamka
Kuwa Shoga ni LAANA si LAANA?I swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
Mambo ya kublock block watu ndio umama wenyewe.I swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.