Walimu mnaweza kujiajiri

Walimu mnaweza kujiajiri

Pamoja na kuwa jukwaa wazi la kutoa chochote ulicho nacho, bado NEW AGE mna kazi kubwa kwa upande wa kunyambulisha vitu, na ndiyo maana hapa naona matusi na jekeli zimepewa kipaumbele.l, mh!.
 
Pole mleta post,hao ndo walimu utakaowapelekea watoto wako wafundishwe nao.....hahahaha!hivi unadhani kwa matusi hayo watoto wataacha kuchora mazombii ktk mitihani yani?ndo maana viongozi wa nchi hii watoto zao wanaenda kusoma ulaya.....!mwaka mmoja tu mme panic.....!
 
mkuu vyuo vya ualimu bado vilikua chini ya moe wala havikua Nacte so usajiri wake haukua/haupo mteremko hivyo unavyosema kama vyuo vya IT huyu jamaa ameongea ----- wa kutunga kashindwa kujibu japo kama ulivyopost si unaona amekimbia

Mzee! Kwenda brela inategemea na chuo,Vyuo vingi hasa vya mlengo wa biashara!Mpaka Sasa kama unataka kusajili chuo nenda NACTE utapata usajili ila ni wa muda tu kwa ajili ya matazamio, Hapa sio dialogue! Sisi tulipata usajili toka Moe wakati huo japo tulikua na changamoto nyingi sana zilizotupelekea kufungua chuo, Kbla ya kuanza tulipata ushauri toka ofisi za kanda na baadaye wizarani, Ni mwaka jana tu ndo tumepata permanent registration.NACTE ni wepesi sana kutoa ushirikiano kuliko Moe.Usajili unaosumbua ni wa shule za sekondari kuliko hata chuo.Uongo upi unaousema mkuu na wakati ukifungua website ya NACTE kabla ya kuanza procedures unapata maelekezo yote online na hata emails wao wanajibu vizuri tu.Tuliza kichwa mzee nikuelekeze taratibu kama una nia hiyo.
 
jaman kwan kosa la mleta post ni lipi mbona naona mnamshambulia kwa matusi?

Ataje jina la chuo hicho anacho miliki kinaitwaje?
-hyo master alisomea chuo gan?
-alimaliza waka gan hyo masters?
Akijibu hayo anaweza akutufanya tumuelewe lkn mke ya hapo usikute na yy ni walewale wa kuombea tamisemi wafanye mpango.
 
Back
Top Bottom