Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashinda
Sasa mnaishi maisha ya kutupwa jalalani afu mnakuwa waoga kudai nyongeza ya mishahara, maisha yanapanda, vitu bei juu lkn mpaka leo maticha mnapokea laki 4 kwa siku 31. Iyo pesa ndogo sana.
Naombeni muungane mkiwashe, au kwakuwasaidia undeni group la WhatsApp Kila halmashauri afu mkutane kitaifa Sasa.