Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
😎Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashind...
Yeah here iamMkuu upo ?😂😂
Shida mm sio mwalimuNaomba uratibu mandamano
Ukiwa kama mwalimu mwandamizi.
Hapana hii nakataaa, uwepo wa watu wanaotafuta ajira haiwezi ikawa mwiba wa kukandamiza haki za walimuZama hizi hamna haja ya kuandamana ukiona kazi haikunufaishi unaiacha tu na kesho Asubuhi nafasi yako inakua replaced, mtaani watu wenye taaluma kibao hawana kazi, kama wako kimya na wanafanya kazi maana yake hawana tatizo maslahi yanatosha
Mkuu wananuka shida mpaka kwenye makendeMbona walimu wanaishi poa tu
Wana mishahara minono
Mkuu mbona mimi ni mwalimu na sinuki shida 🤔Mkuu wananuka shida mpaka kwenye makende
Onyesha salio lako tuoneMkuu mbona mimi ni mwalimu na sinuki shida 🤔
Mkuu wananuka shida mpaka kwenye makende
Mbona wananua ndinga kaliMkuu wananuka shida mpaka kwenye makende
Mkuu hiyo ni mambo binafsi mno😂😂Onyesha salio lako tuone