Walimu mpo wengi mkiamua kuandamana hakuna wakuwashinda, jitambueni

Idadi ya waalimu inazidi idadi ya wanachadema?
Halafu unaongelea waalimu gani, wa serikali au binafsi? Shule za msingi au hata vyuo na vyuo vikuu?
Kuna waalimu matajiri kama prof Kabudi, Dr. Bashiru, prof Shivji nk, kuna na wale dizaini za Mpwayungu Village nk.
 

Mkuu kwani huku ACT, CUF, UMD, Chausta, DP au join the chain tuko wachache?

Kwani yanayoendelea huko kwenye chaguzi tunamsubiria Yesu?
 
Laki 4 shule ya msingi hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…