Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Waalimu wanakopa sana aisee dah. Yn kuna jamaa madeni imefika point kwnye mshahara anabaki na 70 elfu tu. Na ni mwalimu wa degree.
Hiyo kubwa mbona, mwamakula anasema Kuna benki zinachukua mshahara wa mwalimu wooote
 
WALIMU HAWAJITAMBUI,, NI WAOGA SANA SIJUI WANA SHIDA GANI??? NDIO MAANA INASEMEKANA WENGI WAO NI WATU WALIOFELI NDO WAKAKIMBILIA KWENYE UALIMU.

KIBAYA ZAID WANATUMIWA NA SERIKALI WAKATI WA UCHAGUZI KUIBA KURA BAADAE WANAANZA KULALAMIKA
 
Serikali inawapa nafasi waliofeli kuwa walimu ili iwamanage, hata polisi wanaenda waliofeli nasimbachawene alisema tunataka polisi aliyefeli
 
Back
Top Bottom