walimu mtakomaa mwakaa huu!

walimu mtakomaa mwakaa huu!

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
Wakati wanalalamika makato ni makubwa sana,Serikali kwa ushirikiano na Cwt wameamua kuanzisha Bodi ya kitaalam ya Waalimu na ni ya Kisheria.Inaitwa Tanzania Teachers Professional Board Act 2013.
Bodi hii itasimamia utaalam wa walimu ni nidhamu kwa ujumla.Malengo ni haya yafuatayo
1.kuhakikisha usimamizi wa Elimu unaongozwa na utaalamu.
2.kuweka viwango sawia vya kitaalamu vinavyosimamiwa na chombo kimoja kitakachotambulika kitaifa na kimataifa.
3.kuinua hadhi ya waalimu pamoja na kuboresha viwango vya kufundisha na kujifunza.

Bodi hii itaendeshwa kwa michango ya wanachama na wahisani mbalimbali.
Kutakuwa na Registration fee na Annual fee kwa wanachama ambao ni walimu wa shule za umma na binafsi.
Swali langu
Je, uanzishwaji wa Bodi hii unaimanisha kwmb TSD na CWT zitaondolewa?

Na kama cwt ndo waliomba kuanzishwa kwa bodi hii kwa nini Wasiendeshe bodi hii kwa kutumia zile 2% na vitega uchumi kuliko kuendelea kuwakata waalimu na hali yao duni?

Mdau wa Elimu nchini mnamaoni gani kuhusu jambo hili?

Mpango wa uanzishwaji wa Bodi hii umeigwa kutoka ktk nchi ya Nigeria.
 
Walimu muna shida,lakini hayo mapendekezo si waliyatoa wao wenyewe na hiyo CWT yao au??
 
nakubali kwamba ni kitu kizuri tatizo ni makato makubwa c chini ya laki tano kwa mwaka
 
Walimu muna shida,lakini hayo mapendekezo si waliyatoa wao wenyewe na hiyo CWT yao au??

wanaita walimu wachache kimya kimya wanaandikishwa wanapewa msosi ndo imetoka hvyo.
 
nakubali kwamba ni kitu kizuri tatizo ni makato makubwa c chini ya laki tano kwa mwaka

Bodi kama hiyo zipo hata hapa nchini mfano ERB (Engineers Registration Board ) hazina makato makubwa kwa mwaka huo utakuwa ni wasiwasi wako tu! inaweza isizidi hata 20,000/mwaka.
 
ni nzuri lkn cwt na tsd ife kwanza la sivyo walimu mtaendelea kurutubisha bila faida unaopata Mwalimu
 
Bodi kama hiyo zipo hata hapa nchini mfano ERB (Engineers Registration Board ) hazina makato makubwa kwa mwaka huo utakuwa ni wasiwasi wako tu! inaweza isizidi hata 20,000/mwaka.
mkuu kwa wewe mwenye Tgts f huon tatzo shda mm mwenye b1,kweli kuongezeka kwa bei ya vtu mwalimu wanatuongezea elfu 40,NCHI INAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO!
 
mkuu kwa wewe mwenye Tgts f huon tatzo shda mm mwenye b1,kweli kuongezeka kwa bei ya vtu mwalimu wanatuongezea elfu 40,NCHI INAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO!
  • Yap mkuu hili nalo neno kwa kweli
 
Haya mavyama yao wanatuingza tu saiz kumbe hiali kujiunga,katiba yenyewe m sijawah kuiona iweje wakuingze alafu wasikupe katba wameniibia vya kutosha bora kufa kivyangu nishaandka barua ya kujitoaaa ndo nasikilizia majbu!
 
Back
Top Bottom