Walimu na Wanafunzi Serengeti Watapeliwa

Walimu na Wanafunzi Serengeti Watapeliwa

Umechemka lakini. Kwenye kamusi yoyote ya Kiingereza hakuna neno "monitress." Labda kwenye Tanzanian English!
Utakuwa hujui Kiingereza wewe! Utakuwa unawaita kama tulivyokuwa tunaita shule ya msingi bila kujua tofauti kati ya wa kike na wa kiume!
 
Huyo mkuu wa shule anatakiwa kuwajibishwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kazi kama mkuu wa kituo, na hivyo kurusu upuuzi kama huo kufanyika, huku ukiwa na baraka zake.
Here we are. Mkuu wa shule asiyetambua utaratibu wa kuongoza shule hafai. Anatakiwa aingie cell mara moja. Yaani outsider anakuja from nowhere anaahidi mambo makubwa bila kuwa na utambulisho kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri? Kweli? Kuna siku atahatarisha maisha ya wanafunzi na waalimu.
 
Utakuwa hujui Kiingereza wewe! Utakuwa unawaita kama tulivyokuwa tunaita shule ya msingi bila kujua tofauti kati ya wa kike na wa kiume!

20220401_175638.jpg
 
Huu hapa ushahidi wangu. Wewe leta wako. Umekurupuka vibaya sana ndugu. Wewe ndio hujui Kiingereza ndugu yangu Manjagata
 
Huu hapa ushahidi wangu. Wewe leta wako. Umekurupuka vibaya sana ndugu. Wewe ndio hujui Kiingereza ndugu yangu Manjagata

monitress​

[ mon-i-tris ]SHOW IPA

noun
a female student who helps keep order or assists a teacher in school.
Mkyamise jisomee hapo uone nilichokuwa nakwambia!
 
monitress​

[ mon-i-tris ]SHOW IPA

noun
a female student who helps keep order or assists a teacher in school.
Mkyamise jisomee hapo uone nilichokuwa nakwambia!
Dictionary gani hiyo? Piga picha uiweke hapa kama mimi nilivyofanya
 
Huu ndiyo wizi Sasa,siyo kuchana nyavu na kuvunja makufuli
 
Saiv matapeli wameshagundua kua wajinga mjini wamepungua sana wanachofanya ni kwenda uko koromije koromije utakuta uyo tapeli kama kuna walimu wakike hpo shuleni pia walimpa Hisani kwa kuamini kua fursa huanzia sokoni
 
Asijisifu wala nini kuwadhulumu walimu ni rahisi kuliko kuona nyota usiku.
 
Back
Top Bottom