Utakuwa hujui Kiingereza wewe! Utakuwa unawaita kama tulivyokuwa tunaita shule ya msingi bila kujua tofauti kati ya wa kike na wa kiume!Umechemka lakini. Kwenye kamusi yoyote ya Kiingereza hakuna neno "monitress." Labda kwenye Tanzanian English!
Here we are. Mkuu wa shule asiyetambua utaratibu wa kuongoza shule hafai. Anatakiwa aingie cell mara moja. Yaani outsider anakuja from nowhere anaahidi mambo makubwa bila kuwa na utambulisho kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri? Kweli? Kuna siku atahatarisha maisha ya wanafunzi na waalimu.Huyo mkuu wa shule anatakiwa kuwajibishwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kazi kama mkuu wa kituo, na hivyo kurusu upuuzi kama huo kufanyika, huku ukiwa na baraka zake.
Utakuwa hujui Kiingereza wewe! Utakuwa unawaita kama tulivyokuwa tunaita shule ya msingi bila kujua tofauti kati ya wa kike na wa kiume!
Huu hapa ushahidi wangu. Wewe leta wako. Umekurupuka vibaya sana ndugu. Wewe ndio hujui Kiingereza ndugu yangu Manjagata
Dictionary gani hiyo? Piga picha uiweke hapa kama mimi nilivyofanyamonitress
[ mon-i-tris ]SHOW IPA
noun
a female student who helps keep order or assists a teacher in school.
Mkyamise jisomee hapo uone nilichokuwa nakwambia!
Money heistLa casa de papelView attachment 2170800