Walimu pasipo malipo ya overtime msikubali hili jambo

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Screenshot_20230930-131107_One Read.jpg
Screenshot_20230930-131124_One Read.jpg
nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea

sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo

sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka waburuza tu inauma sana na walimu hili jambo mtakaa kimya ila issue za mgao wa umeme DP WORLD mpo busy kujadili maslahi yenu mnaufyata

Hapa hata chama chenu kinaufyata sasa sijui kina watetea maslahi gani
 
Hii nchi ya kipumbafu sana tukiwaambia wachague lugha moja ya kufundishia wanaaanza kuleta porojo,ona sasa wanavyotaptapa.

Narudia tena bila kuwa na lugha moja ya kujifunzia kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu elimu hii itaendelea kuwa ya kifala.
 
Hivi ukoloni mambo Leo unaweza kuwa ni kipingamizi Kwa kiswahili kutumika O-level - university? Kikiwa kama lugha ya kufundishia
 
Kiukweli hii kada inadharaulika kupita maelezo!!! Inawezekanaje kuamuliwa kufanya kazi nje ya muda wa kazi na kufanya kazi masaa mfululizo tena kwa watoto ambao siyo sehemu ya majukumu ya mwalimu?

Ni nani anaye fanya mambo isivyo kawaida na inaonekana ni sawa?
 
View attachment 2767309View attachment 2767310nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea

sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo

sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka waburuza tu inauma sana na walimu hili jambo mtakaa kimya ila issue za mgao wa umeme DP WORLD mpo busy kujadili maslahi yenu mnaufyata

Hapa hata chama chenu kinaufyata sasa sijui kina watetea maslahi gani
Mpango ni mzuri sana ila namna ya utekelezaji wake unahitaji ufafanuzi wa kina zaidi kwa watendaji wakuu ambao ni walimu.
 
View attachment 2767309View attachment 2767310nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea

sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo

sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka waburuza tu inauma sana na walimu hili jambo mtakaa kimya ila issue za mgao wa umeme DP WORLD mpo busy kujadili maslahi yenu mnaufyata

Hapa hata chama chenu kinaufyata sasa sijui kina watetea maslahi gani
Inaskiitisha SANAAAA!
Hakuna palipotajwa kuwa walimu watalipwa nini.
Huu ni unyama na si haki kwa kweli.

Pili, eti watasoma kozi ya Kiingereza kwa kutumia kitabu cha Baseline!
Yaani RAS ( REO) wa Mkoa wa Mwanza hajui kuwa Baseline si kozi ya Kiingereza! Imenisikitisha sanaaa.
Baseline ni mchanganyiko wa masomo mbalimbali mfano Geography, Biology, Mathematics,nk

Kifupi walimu wetu walipweee na wazazi wa watoto.
 
Kiukweli hii kada inadharaulika kupita maelezo!!! Inawezekanaje kuamuliwa kufanya kazi nje ya muda wa kazi na kufanya kazi masaa mfululizo tena kwa watoto ambao siyo sehemu ya majukumu ya mwalimu?

Ni nani anaye fanya mambo isivyo kawaida na inaonekana ni sawa?
Walimu wapo kimya chama chao kipo kimya kitu kingine hawa watoto wamesoma miaka saba na sasa wamehitimu kwanini wanakuwa na hofu ya kingereza chao mpaka waache pumzika mda wakusubilia matokeo wanawanzisha English course ina maana elimu ya msingi ina shida
 
Ushauri.
1.Iwekwe wazi wanafunzi hawa watapataje chakula cha mchana.
2. Wanafunzi wapewe muda zaidi kupumzika.
Wamekuwa shuleni miaka 7 na mara nyingi bila likizo.
 
Hii nchi ya kipumbafu sana tukiwaambia wachague lugha moja ya kufundishia wanaaanza kuleta porojo,ona sasa wanavyotaptapa.

Narudia tena bila kuwa na lugha moja ya kujifunzia kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu elimu hii itaendelea kuwa ya kifala.
Na kuna mtu humu JF anajiona mjanja sana kumtoa mwanae english medium school na kumpeleka Kayumba school.
 
Back
Top Bottom