REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Unafikiri wakipangwa wanaweza kukataa?Muwakumbushe na kipindi cha uchaguzi wasitumiwe kama mazezeta
Hivi ukoloni mambo Leo unaweza kuwa ni kipingamizi Kwa kiswahili kutumika O-level - university? Kikiwa kama lugha ya kufundishiaHii nchi ya kipumbafu sana tukiwaambia wachague lugha moja ya kufundishia wanaaanza kuleta porojo,ona sasa wanavyotaptapa.
Narudia tena bila kuwa na lugha moja ya kujifunzia kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu elimu hii itaendelea kuwa ya kifala.
Sahihi kabisa. Kwa walimu wa sekondari, wajiandae kukutana na passive resistance ya kutosha sana tu.Kama hakuna hela watarahie passive resistance!!
Blah blah zitapigwa na WATOTO watatoka BILA BILA!!
Mpango ni mzuri sana ila namna ya utekelezaji wake unahitaji ufafanuzi wa kina zaidi kwa watendaji wakuu ambao ni walimu.View attachment 2767309View attachment 2767310nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea
sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo
sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka waburuza tu inauma sana na walimu hili jambo mtakaa kimya ila issue za mgao wa umeme DP WORLD mpo busy kujadili maslahi yenu mnaufyata
Hapa hata chama chenu kinaufyata sasa sijui kina watetea maslahi gani
Unafikiri wakipangwa wanaweza kukataa?
Hivi ukoloni mambo Leo unaweza kuwa ni kipingamizi Kwa kiswahili kutumika O-level - university? Kikiwa kama lugha ya kufundishia
Inaskiitisha SANAAAA!View attachment 2767309View attachment 2767310nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea
sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo
sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka waburuza tu inauma sana na walimu hili jambo mtakaa kimya ila issue za mgao wa umeme DP WORLD mpo busy kujadili maslahi yenu mnaufyata
Hapa hata chama chenu kinaufyata sasa sijui kina watetea maslahi gani
Du!Walimu wanajua tu kutomba watoto hakuna kingine wanachoweza kukisimamia
Walimu wapo kimya chama chao kipo kimya kitu kingine hawa watoto wamesoma miaka saba na sasa wamehitimu kwanini wanakuwa na hofu ya kingereza chao mpaka waache pumzika mda wakusubilia matokeo wanawanzisha English course ina maana elimu ya msingi ina shidaKiukweli hii kada inadharaulika kupita maelezo!!! Inawezekanaje kuamuliwa kufanya kazi nje ya muda wa kazi na kufanya kazi masaa mfululizo tena kwa watoto ambao siyo sehemu ya majukumu ya mwalimu?
Ni nani anaye fanya mambo isivyo kawaida na inaonekana ni sawa?
Shetani humgandamiza shetani mwenzieHii Kaz n ngumu sana
Passive resistance za nini...??Kama hakuna hela watarahie passive resistance!!
Blah blah zitapigwa na WATOTO watatoka BILA BILA!!
Na kuna mtu humu JF anajiona mjanja sana kumtoa mwanae english medium school na kumpeleka Kayumba school.Hii nchi ya kipumbafu sana tukiwaambia wachague lugha moja ya kufundishia wanaaanza kuleta porojo,ona sasa wanavyotaptapa.
Narudia tena bila kuwa na lugha moja ya kujifunzia kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu elimu hii itaendelea kuwa ya kifala.