DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Miundombinu ya shule nyingi za serikali haimsapoti mwalimu kumaliza topic alafu mwalimu huyo huyo anajitolea kutoenda likizo ili afundishe watoto wenu alafu mnalalamika najua hela yenyewe ni chini ya 10K

Dada yangu ni mwalimu wa phy na Chem mme wake huwa anamwambia fundisha kwa 30% ya uwezo wako usiandike ubaoni wala usijichoshe na asizidishe muda wa kukaa shule yani ikifika saa nane sister ageuze kurudi home na huwa anafanya hivyo

EWE MWALIMU JITUME SAANA KAMA UPO PRIVET SCHOOL ILA UKIENDA GOVERNMENT SCHOOL NENDA UKIWA UMESHASTAAFU NENDA UKALE PENSHEN TU STORY NYINGI KUFUNDISHA KIDOGO
huu ndio ukweli mchungu…
 
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato cha tatu wanalazimishwa kulipa pesa ya tuition ili waweze kufundishwa maada zote za kidato cha nne kipindi cha likizo.

Wanafunzi ambao hawatalipa hawapati haki ya kufundishwa hizo mada hata baada ya shule itakapofunguliwa kwa maana baada ya likizo ya Desemba.

Naomba Afisa Elimu atusaidie hili kwani Wazazi tunaumia kwa kinachoendelea, Watoto wanakosa Haki ya Msingi na pia ni wajibu wa Walimu kufundisha Wanafunzi.

Kinachoendelea Wanafunzi wameambiwa watoe pesa ya tuition ili wafundishwe kipindi cha likizo ya Desemba, ambaye hatatoa imekula kwake, maana mwezi wa kwanza hawatarudia kufundisha mada za Kidato cha Nne katika vipindi vya darasani.

Tunaomba Serikali itusaidie kwenye hili, kwani ikitokea mzazi una changamoto ya kifedha Desemba hii inamaanisha mwanao naye atayumba kielimu.
Kama Elimu ni Ghali Jaribu Ujinga!
 
watanzania tusipende vitu vya bure jamn vinatucost pakubwa.. kama hutak acha kuchangia wengine wasome
 
Miundombinu ya shule nyingi za serikali haimsapoti mwalimu kumaliza topic alafu mwalimu huyo huyo anajitolea kutoenda likizo ili afundishe watoto wenu alafu mnalalamika najua hela yenyewe ni chini ya 10K

Dada yangu ni mwalimu wa phy na Chem mme wake huwa anamwambia fundisha kwa 30% ya uwezo wako usiandike ubaoni wala usijichoshe na asizidishe muda wa kukaa shule yani ikifika saa nane sister ageuze kurudi home na huwa anafanya hivyo

EWE MWALIMU JITUME SAANA KAMA UPO PRIVET SCHOOL ILA UKIENDA GOVERNMENT SCHOOL NENDA UKIWA UMESHASTAAFU NENDA UKALE PENSHEN TU STORY NYINGI KUFUNDISHA KIDOGO
Kila mzazi ni 5000 kwa mwezi mzima, wamegoma ni nyingi sana.

Nawaunga mkono wazazi, Magufuli alisema elimu bure, hakuna kuharibu legasy ya Marehemu.
 
Wewe ni mpumbavu sana tena sana, yaani watoto wakasome masomo ya f4 kwa mwezi mmoja wa likizo kwa lazima hiyo ndo elimu? Unajua maana ya elimu?
Kuelimisha kuna utaratibu wake kama wewe ulikariri tuisheni kwa masomo ya mwaka mzima ukafundishwa kwa mwezi mmoja ndo unadhani una elimu? Wewe ni mjinga kuzidi hao unaowaambia wajaribu ujinga

Acha watoto waende likizo ndo utaratibu wa elimu.
Walimu wanataka kukimbizana na syllabus , ili watoto wapate muda mwingi wa revision lakini kumbuka wakati huo huo ni kipindi cha likizo hivyo walimu wanaacha kupumzika na familia zao huko nyumbani wanakuja kuwafundisha wadogo zenu , unategemea huo muda wao uende bure bila kupata posho yoyote ? Unategemea shule ndio itoe hizo posho kwa walimu?
 
Anataka wasipewe posho ya elfu 5 lakini anataka mbunge wake apewe posho ya 200,000 kwa siku kwa kitendo cha kupiga meza mara tatu.
 
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato cha tatu wanalazimishwa kulipa pesa ya tuition ili waweze kufundishwa maada zote za kidato cha nne kipindi cha likizo.

Wanafunzi ambao hawatalipa hawapati haki ya kufundishwa hizo mada hata baada ya shule itakapofunguliwa kwa maana baada ya likizo ya Desemba.

Naomba Afisa Elimu atusaidie hili kwani Wazazi tunaumia kwa kinachoendelea, Watoto wanakosa Haki ya Msingi na pia ni wajibu wa Walimu kufundisha Wanafunzi.

Kinachoendelea Wanafunzi wameambiwa watoe pesa ya tuition ili wafundishwe kipindi cha likizo ya Desemba, ambaye hatatoa imekula kwake, maana mwezi wa kwanza hawatarudia kufundisha mada za Kidato cha Nne katika vipindi vya darasani.

Tunaomba Serikali itusaidie kwenye hili, kwani ikitokea mzazi una changamoto ya kifedha Desemba hii inamaanisha mwanao naye atayumba kielimu.
Hapa mmeshawatibua waalimu, katika form 4 zote zitazofelisha katika historia ya MpandaDay mpaka Yesu atakaporudii ni ya mwaka 2024.

Mark my words.
 
Kama unaona elimu ni gharama jaribu ujinga.

Hela ambayo nadhani haizidi Tsh20,000ndio hela ya kuja kutupigia makelele humu.

Hebu kuwa serious bwana!
 
Duuu kwamba mwalimu hatafundisha hizo mada mwanzo wa masomo??? kutoa ada ni wajibu wako lakini huo UPUUZI wanaotaka kufanya wa kutofundisha masomo kisa walifundisha likizo kwa gharama za twisheni ni kosa na wanapaswa kuekemewaa.
 
Walimu wanataka kukimbizana na syllabus , ili watoto wapate muda mwingi wa revision lakini kumbuka wakati huo huo ni kipindi cha likizo hivyo walimu wanaacha kupumzika na familia zao huko nyumbani wanakuja kuwafundisha wadogo zenu , unategemea huo muda wao uende bure bila kupata posho yoyote ? Unategemea shule ndio itoe hizo posho kwa walimu?
Nimeamini Mpwayungu Village anahoja anaposema kuwa mwalimu ni laana.

Naomba kujua wataalam wa Elimu waliweka likizo kwa sababu gani? Ni kazi gani ambayo watu hawapumziki?

Walimu hamna kazi ya kufanya? Kama hakuna basi jifunzeni kupumzika!

Lakini pia kumbukeni watoto wanachoka sana waacheni wapumzike.

Serikali imetamka wazi elimu bila malipo.

Kama walimu wanaona wafundishe likizo wafundishe bila malipo. Na January lazima wafundishe. Maana kuna watoto wataopt kupumzika.
 
Duuu kwamba mwalimu hatafundisha hizo mada mwanzo wa masomo??? kutoa ada ni wajibu wako lakini huo UPUUZI wanaotaka kufanya wa kutofundisha masomo kisa walifundisha likizo kwa gharama za twisheni ni kosa na wanapaswa kuekemewaa.
Walimu wapo sahihi,
Hivi vitu huwa ni maazimio ya pamoja katika vikao vya wazazi, ila kuna wazazi much know wachache huwa hawaend kwenye vikao na ndio hao wanakuja kutupigia kelele na michango ya 20k humu,

Walimu walipwe, mtoto kufika wa 8 awe amemaliza topic anapigishwa revision tu atatoboa,

Maisha ni gharama, cha bure hewa tu, hata sehemu ya kuzikwa siku hizi unatoa pesa
 
Uzuri ni kwamba hawatachukua mfukoni Kwa mikono Yao! Ukiona hamna umuhimu wake achana na tution Kwa mwanao.
 
Msonde ametoka kwenye u CEO pale NECTA, sasa anawanyoosha wasiotaka elimu:
Huyu bwana anapenda elimu.
Anazingua bwana Msonde, maazimio kibao hali za maticha duni vilevile

Unalazimishaje watu wasome mada za form four December? Walimu, wanafunzi hawapumziki?

Yale maazimio ya somo ya mwaka kazi yake ni nini?
 
ni kweli usemavyo , hayo yanatokea kwakuwa kwa mwaka unajua kuna siku nyingi za masomo huwa zinafia njiani?
Watoto wanaambiwa wakapokee Mwenge, mara walimu wako vikao vya CCm, mara sijui kiongozi gani amekuja, mara sijui haki za kijinsia, .
 
Watu wanajifanya wanapinga hii kitu,
Ila kwenye kusoma hususan hizi shule za government, tena za kata, bila kulipa tuition hutoboi, useme usome kwa ratiba et mwezi mzima mtoto alale nyumbani anapumzika 😂😂😂 labda sio matoto ya bongo,

Watoto wapelekwe tu tuition vichwa vianze kuzoea stress mapema
 
Nimeamini Mpwayungu Village anahoja anaposema kuwa mwalimu ni laana.

Naomba kujua wataalam wa Elimu waliweka likizo kwa sababu gani? Ni kazi gani ambayo watu hawapumziki?

Walimu hamna kazi ya kufanya? Kama hakuna basi jifunzeni kupumzika!

Lakini pia kumbukeni watoto wanachoka sana waacheni wapumzike.

Serikali imetamka wazi elimu bila malipo.

Kama walimu wanaona wafundishe likizo wafundishe bila malipo. Na January lazima wafundishe. Maana kuna watoto wataopt kupumzika.
Ni laana kweli
 
Wachangieni walimu.
Halafu kwa shule zetu za serikali hizi hasa hizo za kata tuition ni muhimu saana, hilo lipo wazi..
Hapo ni mwendo wa tuition, msuli kiasi, PEPA za mara kwa mara kama kuna kituo cha pepa za kila wikiendi dogo akapige, elimu bure ni siasa tu, elimu gharama mzee.

Ni kweli walimu wanatafuta ulaji ila hiyo ndio inawasaidia watoto.
 
ni kweli usemavyo , hayo yanatokea kwakuwa kwa mwaka unajua kuna siku nyingi za masomo huwa zinafia njiani?
Watoto wanaambiwa wakapokee Mwenge, mara walimu wako vikao vya CCm, mara sijui kiongozi gani amekuja, mara sijui haki za kijinsia, .
Hii nchi haieleweki, walipiga marufuku twisheni shuleni, Msonde kazirudisha

Wakatoa tamko shule ikifunga hakuna kulazimisha wanafunzi kubaki

Msonde karudisha,

Huyu bwana NECTA palimfaa zaidi kuliko huku
 
Kinachoendelea Shule ya Sekondari Mpanda Day, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni kinyume cha Sheria, Serikali imetangaza elimu bure kidato cha kwanza mpaka cha nne, lakini Wanafunzi wa kidato cha tatu wanalazimishwa kulipa pesa ya tuition ili waweze kufundishwa maada zote za kidato cha nne kipindi cha likizo.

Wanafunzi ambao hawatalipa hawapati haki ya kufundishwa hizo mada hata baada ya shule itakapofunguliwa kwa maana baada ya likizo ya Desemba.

Naomba Afisa Elimu atusaidie hili kwani Wazazi tunaumia kwa kinachoendelea, Watoto wanakosa Haki ya Msingi na pia ni wajibu wa Walimu kufundisha Wanafunzi.

Kinachoendelea Wanafunzi wameambiwa watoe pesa ya tuition ili wafundishwe kipindi cha likizo ya Desemba, ambaye hatatoa imekula kwake, maana mwezi wa kwanza hawatarudia kufundisha mada za Kidato cha Nne katika vipindi vya darasani.

Tunaomba Serikali itusaidie kwenye hili, kwani ikitokea mzazi una changamoto ya kifedha Desemba hii inamaanisha mwanao naye atayumba kielimu.
Tafadhali, lipa mwanao apate elimu ambalo ndio lengo kuu. Yaani lengo lifikiwe kwa njia yoyote ile. Yaani syllabus ya form IV ndani ya mwezi mmoja, ingawaje ni mwaka wa mtihani kwa sehemu kubwa ni marudio.
 
Back
Top Bottom