Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nimeamini Mpwayungu Village anahoja anaposema kuwa mwalimu ni laana.
Naomba kujua wataalam wa Elimu waliweka likizo kwa sababu gani? Ni kazi gani ambayo watu hawapumziki?
Walimu hamna kazi ya kufanya? Kama hakuna basi jifunzeni kupumzika!
Lakini pia kumbukeni watoto wanachoka sana waacheni wapumzike.
Serikali imetamka wazi elimu bila malipo.
Kama walimu wanaona wafundishe likizo wafundishe bila malipo. Na January lazima wafundishe. Maana kuna watoto wataopt kupumzika.