DOKEZO Walimu Sumbugu Sekondari, Wilaya ya Misungwi, Mwanza, wapata unyanyasaji mkubwa kutoka kwa Mkuu wa Shule hiyo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

wimbo ulio bora 15

New Member
Joined
Apr 23, 2023
Posts
2
Reaction score
3
Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao.

Licha ya changamoto hizo wamekuwa wakijituma Kwa miaka yote licha ya matusi na manyanyaso toka kwa mkuu huyo wa shule. Walimu wameendelea kuishi katika nyumba hiyo Kwa mwezi mzima bila madirisha Wala mirango, kitendo ambacho kimewaathili kisaikologia maana wanafunzi na walimu wameshuhudia kitendo kilichofanyika.

Mkuu huyo wa shule Seka Awando ameendelea kuendelea kushiriki na kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia Kwa wanafunzi na wanaonekana kupinga hivyo vitendo anawajengea chuki kubwa. Yeye anaishi katika nyumba ya kulala wageni ambako hutumia mwanya huo kunyanyasa wanafunzi wa kike kijinsia pia
 
Hao noma mzee nawafahamu vizuri sana nimefanya nao kazi nilijitolea shule fulani DSM kufundisha masomo ya sayansi ndiyo nikajua Hawa watu ni wachawi wanaotembea mchana........
nafikiri ni kule kukaa na watoto muda mwingi na kuwafuatilia kile kitu wanakileta hadi kwenye jamii nje ya shule yani unakuta anakatiza kila mahali kama kashika zamu la wiki
 
Naaam Hiyo inaweza kuwa sababu pia ila sababu yangu kuu kwa uzoefu wangu walimu wengi shule ndogo wajanja wajanja sana(wanachokifundisha hawakijui)hasa walimu wa arts hawa wengiwao ni kama wafanyakazi hewa unakuta mwalimu week nzima ana vipinidi vinne muda mwingi anapiga umbea ofisini lakini utashangaa na wao mei mosi hapo kesho kutwa nao wanataka wapandishiwe mishahara....
 
1. Walimu wangapi wamenyanyaswa? Weka majina yao
2. Wanafunzi wangapi wamenyanyaswa kingono? Weka majina yao Pia
3. Namba 2 ni kosa kisheria. Je umeripoti kwenye vyombo husika?
4 . Boss wa huyo Mkuu wa shule ana taarifa?
5 . Una ushahidi usiokuwa na shaka kwamba hizo tuhuma ni za kweli.
 
Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao.

Licha ya changamoto hizo wamekuwa wakijituma Kwa miaka yote licha ya matusi na manyanyaso toka kwa mkuu huyo wa shule. Walimu wameendelea kuishi katika nyumba hiyo Kwa mwezi mzima bila madirisha Wala mirango, kitendo ambacho kimewaathili kisaikologia maana wanafunzi na walimu wameshuhudia kitendo kilichofanyika.

Mkuu huyo wa shule Seka Awando ameendelea kuendelea kushiriki na kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia Kwa wanafunzi na wanaonekana kupinga hivyo vitendo anawajengea chuki kubwa. Yeye anaishi katika nyumba ya kulala wageni ambako hutumia mwanya huo kunyanyasa wanafunzi wa kike kijinsia pia
peleka tuhuma kwa mkurugenzi
 
Toa majungu hapa. Fuata taratibu zilizowekwa kama una jambo.
 
Hao walimu nao ni mbumbumbu, mtumishi mwenzao, ameajiriwa kama wao, akapata usimamizi wa shughuli za shule kama kiongozi tu, anapataje jeuri ya kuwanyanyasa? Huyo mkuu wa shule hajawahi kukutana na staff zilizopinda ashikishwe adabu. Kuna shule staff zake zimegawanyika vipande vipande na walimu wakuu wake hawana uwezo wa kuwaweka pamoja walimu wao. Unakukuta mkuu wa shule ana kundi lake na wengine wana makundi yao mpaka wengine ofisi hawakai pamoja wako madarasani kama ofisi. Wakati mwingine ngumi zinapigwa na kupelekea uongozi wa juu kusambaratisha walimu kwa kuwahamisha. Wakuu wa shule wengi wao hawana ile inaitwa management and administration skills. Wanaongoza shule kidikteta na ulimbukeni wa madaraka
 
Back
Top Bottom