wimbo ulio bora 15
New Member
- Apr 23, 2023
- 2
- 3
Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba wanayoishi walimu ambao wamehamia kituoni hapo miaka saba iliyopita bila kulipwa na mwajiri wao.
Licha ya changamoto hizo wamekuwa wakijituma Kwa miaka yote licha ya matusi na manyanyaso toka kwa mkuu huyo wa shule. Walimu wameendelea kuishi katika nyumba hiyo Kwa mwezi mzima bila madirisha Wala mirango, kitendo ambacho kimewaathili kisaikologia maana wanafunzi na walimu wameshuhudia kitendo kilichofanyika.
Mkuu huyo wa shule Seka Awando ameendelea kuendelea kushiriki na kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia Kwa wanafunzi na wanaonekana kupinga hivyo vitendo anawajengea chuki kubwa. Yeye anaishi katika nyumba ya kulala wageni ambako hutumia mwanya huo kunyanyasa wanafunzi wa kike kijinsia pia