Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma

1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)

Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022).

UPDATE (11/06/2024)
Nimeagiza SCANIA (vichwa) viwili kutoka Uingereza Kwa ajili ya biashara ya usafirishaji.
 

Attachments

  • images - 2023-07-21T114851.370.jpeg
    images - 2023-07-21T114851.370.jpeg
    34 KB · Views: 20
  • images - 2023-07-21T114838.959.jpeg
    images - 2023-07-21T114838.959.jpeg
    13.6 KB · Views: 18
  • images - 2023-07-21T114834.037.jpeg
    images - 2023-07-21T114834.037.jpeg
    5.7 KB · Views: 17
  • images - 2023-07-21T114811.186.jpeg
    images - 2023-07-21T114811.186.jpeg
    9 KB · Views: 18
Binafsi naona kazi ya ualimu,walimu wenyewe inabidi watumie nguvu kubwa kuhakikisha wanatoboa tena sio kwa kutegemea mshahara labda wawe ni wako international skulz.

Mwalimu kutoboa inabidi awe na kakazi ka pembeni kanakomboost.
 
Back
Top Bottom