Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Hata Wahadhiri nao ni walimu. Tusikatae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 maake hapo kwanza ncheke. Nyumba 2 za kupanga Area D zinakuingizia kiasi gani kwa mwaka ndugu?! Tuanzie hapo. Other wise twambie vitegauchumi vinavyofanya uwe na >=100M kwenye account.Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Madrasa🤣🤣🤣🤣 maake hapo kwanza ncheke. Nyumba 2 za kupanga Area D zinakuingizia kiasi gani kwa mwaka ndugu?! Tuanzie hapo. Other wise twambie vitegauchumi vinavyofanya uwe na >=100M kwenye account.
Kwa ufupi ualimu uwe part time.Binafsi naona kazi ya ualimu,walimu wenyewe inabidi watumie nguvu kubwa kuhakikisha wanaotoboa tena sio kwa kutegemea mshahara labda wawe ni wako international skulz.
Mwalimu kutoboa inabidi awe na kakazi ka pembeni kanakomboost.
Nadhani Kwa taaluma yoyote uliyonayo, haikupi uhakika Kwa kutoboa...labda kama kuna ya ziada.Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Hivi Noah ni gari ya kutembelea?Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village
Kuna watu ama kwa kujua ama kuto kujua wanawachukulia poa sana walimu.....nawahakikishia walimu wa sasa si wa enzi zile binafsi nawajua walimu wengi tu ambao wamepambana kiuchumi wako mbali sanaMwalimu kuwa na tunyumba tuwili tutatu twa kawaida inawezekana ila kwa hilo salio nakataa.
Wapo mkuu.kuna mwalimu mmoja aliamua kuacha kazi baada ya miaka sits ya kazi,yeye pia ni mkulima wa kahawa anapesa balaa.Mwalimu huyu hayupo Tanzania
Nenda kaimbe mapambio kwa Sa100"kutoboa kimaisha" ndiyo nini maana yake?