Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.

1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)

Mpwayungu Village
Kazi kipimo cha utu (Lukosi, 2022)
Kauli ya kazi kipimo cha utu ni ya JK Nyerere. Ama sijaelewa hiyo nukuu yako yako hapo chini.
 
Tupo wengi tu tuna nyumba na magari ya kutembelea ila mapesa mengi bank ndio hatuna ila za kubadilisha mboga trh 1 mpaka 30 sio shida,mpwayungu alitumbuliwa ndio maana ana hasira.
ndio hapa huwa mnatuchanganya walimu , umaskini wenu umeanzia kwenye akili , kumiliki nyumba na gari ni kutoboa maisha hapa akili imekwama mazim ,mimi ni mwalimu kama wewe namiliki nyumba , gari ya kutembelea na camter, scaniA , nina mashamba na mifugo, nina store zambia lakin bado sana na kumbuka hivi vitu sijapata kupitia ualimu
 
niwe mkweli watanzania wajue ukweli kuhusu ualimu, mimi namiliki nyumba zaidi ya tatu , niamiliki mashamba ya parachichi miti, nina canter, scania na gari ndogo , na gari ndogo ya kutembela , nina mifugo ngombe , store ya nafaka nk ila ukweli ni kuwa hiv vitu sijapata kupitia kazi ya ualimu nimerithi kutoka kwa mzee wangu alifariki na familia ilinimini so nasimamia tu , ualimu haufanyi haya hata uroge
 
Tuliza mshono

Wewe ndiyo ungekuwa wa kwanza kutuliza mshono.

Unakuja hapa na porojo zako unafikiri JF kuna vichwa panzi wa ku-buy your BS.

-Weka Statement hapa uliyochukua leo kwenye ATM ikionyesha Balance ya zaidi ya m100 ,hide Personal details tuonyeshe salio tu...hizo za nyumba tukisema uweke itaonyesha identity yako au wenye nyumba zao watakujia juu kwa kupiga picha nyumba zao na kuziweka mitandaoni.
 
Ili iweje? Nikitafuta nn Kwa watu wasio hata na balance ya laki 5 Benki? Punguza chuki. Laumu kwenu
 
Ili iweje? Nikitafuta nn Kwa watu wasio hata na balance ya laki 5 Benki? Punguza chuki. Laumu kwenu

Na hizo porojo zako humu JF ulileta ili iweje? Unadhani JF ni vilaza wa kuamini porojo bila ushahidi? Nenda kachukue notes kwa Bilionea Lugano mjifariji pamoja.
 
Back
Top Bottom