Lamisele
Senior Member
- Aug 17, 2022
- 147
- 303
Tupo wengi tu tuna nyumba na magari ya kutembelea ila mapesa mengi bank ndio hatuna ila za kubadilisha mboga trh 1 mpaka 30 sio shida,mpwayungu alitumbuliwa ndio maana ana hasira.Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha.
1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS,
2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma)
3. Usafiri (Toyota Noah)
4. Vitega Uchumi kadhaa (nyumba 2 za kupangisha Dodoma Area D)
Mpwayungu Village