and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Safi sana tichaUalimu nafanya geresha tu. Kazini najifanya lofa tu. Nimeajiri watu 8 kuandaa vitafunwa Jumatatu-ijumaa kuanzia saa 9 usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana tichaUalimu nafanya geresha tu. Kazini najifanya lofa tu. Nimeajiri watu 8 kuandaa vitafunwa Jumatatu-ijumaa kuanzia saa 9 usiku
status ya mkopo wake na makato ya mkopo wake..kama una kazi na haikidhi mahitaji yako au ustawi wako hadi isaidiwe na nyingine....hio kazi unayofanya ni uoga unaokulazimisha kuendelea nayo...kam unahisi umetoboa acha hio kazi...🤣🤣🤣🤣 maake hapo kwanza ncheke. Nyumba 2 za kupanga Area D zinakuingizia kiasi gani kwa mwaka ndugu?! Tuanzie hapo. Other wise twambie vitegauchumi vinavyofanya uwe na >=100M kwenye account.
Walimu wengi tu waliopanda daraja mbna wanapata salary ya 1m plus per monthHakuna aliyetoboa kimaisha harafu akawa anatumia zaidi ya masaa 45 kwa wiki zima kwenye kazi ambayo kipato chake hakifiki milion Moja kwa mwezi
Umeielewa comment yangu?Walimu wengi tu waliopanda daraja mbna wanapata salary ya 1m plus per month
Vzuri sana na wapo sana tu wametoboa na bado wanafundishaUmeielewa comment yangu?
Ili uingize pesa nyingi lazima uwe busy. Huwezi acha shughuli inayokuingizia mamilioni kwa siku ukafanya kitu kinachokuingizia milion Moja kwa mwezi kwa kisingizio pesa haitoshi hata hiyo shughuli ilokufanya utoboe ni ipi kama biashara sidhani maana biashara inakura muda kuliko unavyofikiri maana ukiacha gepu unaweza Kuta manyoyaVzuri sana na wapo sana tu wametoboa na bado wanafundisha
Ambacho hujajua tu ni kwamba hela haitosheki hata kama unaingiza kwa mwezi million 10 bado utahitaji tu
Hayo ni mawazo yako na namna unavyoona kwako ni sawa...Ili uingize pesa nyingi lazima uwe busy. Huwezi acha shughuli inayokuingizia mamilioni kwa siku ukafanya kitu kinachokuingizia milion Moja kwa mwezi kwa kisingizio pesa haitoshi hata hiyo shughuli ilokufanya utoboe ni ipi kama biashara sidhani maana biashara inakura muda kuliko unavyofikiri maana ukiacha gepu unaweza Kuta manyoya
Hakuna attitude ni uhalisia tuHayo ni mawazo yako na namna unavyoona kwako ni sawa...
Ila kwa wengine hawaishi kulingana na attitudes zako..
Huwez jua wengine wanawaza biashara zikikataa kibarua kitawalinda pia
kila mtu ana maana yake ya MAfanikio ..wakati ww unadhani mafanikio ni kua na majumba mengi na magariHakuna attitude ni uhalisia tu
Humu wengi nimeamini bado ni wadogo kiumri au hata kama ni wakubwa kiumri bado hamjaona mambo mengi sana duniani..Ukitoboa ukiwa mwalimu ww ni
Rudi kwenye mada kuu harafu Soma uangalie mada inaongelea mleta mada kafanikiwa ninikila mtu ana maana yake ya MAfanikio ..wakati ww unadhani mafanikio ni kua na majumba mengi na magari
Kuna mwingine yeye kufaulisha wanafunzi wengi kwa daraja la kwanza ndio mafanikio yake ana anayafurahia zaidi
Kuna jamaa yangu mmoja anasemaga hata awe na pesa kiasi gani hata furahia kama asipofanya kazi kwenye idara nyeti