Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

T24

Senior Member
Joined
May 6, 2017
Posts
179
Reaction score
307
Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza:

hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?.

Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida, bado bado unakuta yupo kwenye mazingira ambayo yanamtaka awe mpambanaji kwa Njia halali au haramu (fighter & aggressive) ili afanikiwe kwenye Jambo lake.ukiwa nyoro nyoro hutoboi

Hata awe kiongozi lazima akutane na mazingira hursh Sana na nilazime apambane kweli awe aggressive Sana ili afanikiwe kwenye Jambo lake,

Swali Ni je KWANINI WALIMU TUNATAKIWA KULEA WANAFUNZI KAMA KITU DELICATE SANA HUKU TUKIWA TUNAWAANDAA KUJA KWENYE KWENYE ULIMWENGU AMBAO NI CRUEL/HARSH SANA? Je tunawatendea haki wanafunzi hawa?
 
Back
Top Bottom