kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Hilo wala halina mjadala. Watanzania wengi wana BA za Kiswahili na hawana kazi na kazi ziko kibao Afrika Kusini, Rwanda na sasa Uganda. Serikali haina mkakati wo wote na kote huko Wakenya ndo mmejazana na Kiswahili chenu kilichochanganywa na Sheng.
Tanzania kwenye fursa za kimataifa tunatia aibu kwa kweli!
Museven speaks good kiswahili, na anajua ni wapi wapo magwiji wa kiswahili ...so tulia utajionea ..na uzuri TBC 1 kwa kushirikiana na UBC tv walisha anza ata kurusha habari za pamoja kwa kiswahili....yaan kubadilishana wana habari
Swala sio kujaa, issue ni kupata the right candidate .. M7 anajua wapi pakuwapata waswahilinwenye kiswahili chao ...na uzuri M7 anaongea kiswahil vizuri tu ...alisha ishi hapa tz buree so as usually lzm ata rejesha fadhila tu ...si mnakumbuka EACOP alivyo watema mchana kweupeeee au unajisaulishaaa ?Kwa taarifa yako walimu Wakenya wamejaa Uganda wanafundisha masomo mengine hata kabla ya hili tangazo la kukumbatia Kiswahili, sasa wengi wataendelea tu kwa kuongeza somo la Kiswahili kati ya mambo wanayofunza wakati nyie mumeganda hapo kwa uzembe wenu mnasubiri Museveni aje kuwachukua......sijui nani aliwaroga nyie watu, huwa mnatia huruma hadi basi tu.
Swala sio kujaa, issue ni kupata the right candidate .. M7 anajua wapi pakuwapata waswahilinwenye kiswahili chao ...na uzuri M7 anaongea kiswahil vizuri tu ...alisha ishi hapa tz buree so as usually lzm ata rejesha fadhila tu ...si mnakumbuka EACOP alivyo watema mchana kweupeeee au unajisaulishaaa ?
Halafu usiwachukulie watanzania wa leo kama wale wa zamani, vijana wa sasa wana uwezo mzuri tu wa kuwasiliana "technically " sio kama zama za Nyerere. Kinachoumiza ni mifumo yetu.The right candidate ni mtu mwenye uwezo wa kuwasiliana na Waganda, nyie watu wa ze ze ze kingereza huwa changamoto, hamna uwezo huo. Walimu wa Kena sasa hivi wamejaa Uganda tayari wanafunza, ni suala la kuongeza somo la Kiswahili kwenye kile wanachofunza tayari wakati nyie mumelala mnamsubiri Museveni.
Halafu usiwachukulie watanzania wa leo kama wale wa zamani, vijana wa sasa wana uwezo mzuri tu wa kuwasiliana "technically " sio kama zama za Nyerere. Kinachoumiza ni mifumo yetu.
Hapa umeshaambiwa kuna project kati ya mtanzania na mwafrika kusini, wanaenda kukifundisha huko Afrika kusini. Tatizo ni mifumo, sio kingine.
Do you know Mzee ? Ivi kashawahi kuja kwenu aka hutubia kwa kiswahili kisha akagusua baraza la kiswahiki huko Kenya ? ...last mzee alikuwa hapa Tz ali confirm kabisaa kwamba anafuatilia kamusi za kiswahili toka Tz na aliomba kabisaa kwa baraza kwamba wapo tohoa maneno ya kobantu yaje ktk kiswahili basi na yy awe anashirikishwa ...sasa nyie mnatuambia nini ?The right candidate ni mtu mwenye uwezo wa kuwasiliana na Waganda, nyie watu wa ze ze ze kingereza huwa changamoto, hamna uwezo huo. Walimu wa Kena sasa hivi wamejaa Uganda tayari wanafunza, ni suala la kuongeza somo la Kiswahili kwenye kile wanachofunza tayari wakati nyie mumelala mnamsubiri Museveni.
Mtu mwenye BA ya Kiswahili kweli hajui Kiingereza hata kidogo? [emoji15][emoji15][emoji15]Acha kuisingizia serikali. Kwamba hao walimu watz watatumia kiswahili kufunza kiswahili? [emoji41] Mmmh?
Sasa wewe unashangaa kuhusu huyo wa BA tu kutojua kiingereza? Kuna yule mwendazake ambaye alikuwa hadi na PhD, hebu sikiliza kiingereza ambacho alikuwa anakizungumza.Mtu mwenye BA ya Kiswahili kweli hajui Kiingereza hata kidogo? [emoji15][emoji15][emoji15]
Naona serikali angalau imeingia mkataba na Afrika Kusini.
Safi sana!
View attachment 2284405
Do you know Mzee ? Ivi kashawahi kuja kwenu aka hutubia kwa kiswahili kisha akagusua baraza la kiswahiki huko Kenya ? ...last mzee alikuwa hapa Tz ali confirm kabisaa kwamba anafuatilia kamusi za kiswahili toka Tz na aliomba kabisaa kwa baraza kwamba wapo tohoa maneno ya kobantu yaje ktk kiswahili basi na yy awe anashirikishwa ...sasa nyie mnatuambia nini ?
Na hata iyo jana pale kampala wa Uganda wanao ongea kiswahili wali jijisanya ktk ubalozi wa Tz ktk maadhimisho ya lugha iyo adimu... Nyie mkipewa muwafundishe hao mtatuaribia lugha ..mnamisamiati ya ajbu sanaa wana washinda hata wa Congo na Rwandaa bwanaa ...misamiati yenu ya venyee, sijui mwendazake, sijui nini huko mbaki navyo hukooo
Sasa iv. Wenye lugha tumeamka hatutaki kuwaachia upenyo nyie .... Tena zingagia yafuatayo
N.B
TBC wana ushirikiano na UBC
UDSM wana toa ufazili wa masomo ya kiswahili bure kwa Uganda wanaopenda kusoma kiswa na wapo graduates wengi
Hao walimu watafukuzwa soon, M7 simnamjua lkn aanavyo wasanulia moto au umesahau ya migingo na miingoo?Sijaelewa mavitu gani umeandika, baraza la Kiswahili tumekua nalo miaka yote....
Mimi nimekuambia sisi hatujakaa tumsubiri Museveni, huo ni uzembe mlionao kwenye vinasaba kabisa, walimu wetu tayari wametinga Uganda, ni suala la kuongeza somo la Kiswahili kwenye majukumu yao, na usisahau kunao tayari wanafunza hicho Kiswahili Uganda kwenye baadhi ya shule ambazo zilikipokea kitambo.
Hao walimu watafukuzwa soon, M7 simnamjua lkn aanavyo wasanulia moto au umesahau ya migingo na miingoo?
Alafu kwanza ukizingatia imekuwa na tabia ya kuzuia bidhaa za Uganda hasa mayai na sukari yake, sasa sie majuzi juzi tu SSH karuhusu Sukari toka Uganda hapo lkn utarajie M7 atarejesha mpira kwa kipa
Ww kanjanja toka Gombero kwa wadigo acha uhuni wa kujifanya ww ni mkenyaaa , huo ukanja nja wako utakuponzaaaHehehe!! Huwa mnachekesha, mumekaa hapo mnasubiri walimu wa Kenya wafukuzwe ndio mpate fursa ya kwenda kumwaga udenda pale, hilo mtasubiri sana maana huwa tunawazidi nyie kwa kila kitu kinachohitaji matumizi ya ubongo, kwa taarifa yako walimu wetu wanaajiriwa kwa ajiri ya ubora wao, wanatafutwa kwa kila namna, hata huko Bongo, walimu wa Tanzania waliosomea Kenya huwa kama dhahabu, ona hii....
View attachment 2285113