Walimu wa mjini wanaweza kuwa na posho kubwa kuliko watumishi wengi wa serikali

Mr. Tutor

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,176
Reaction score
2,895
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?

Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+

Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma wanachangia 500. Hapa wanakuja walimu 2. Kwahiyo kwa mwezi anakuja Jumamosi 2.

Akikusanya Alhamis nne na Jumamosi mbili hakosi laki 4+.

Serikalini humu ni taasisi chache sana mtu anaweza kupata posho ya kiasi hiki.

Tena maeneo mengine ni kavu kavu hakuna hata mia mbovu unapokea mshahara mwezi unasubiri mwingine mwezi ujao.
 
Walimu matapeli sana hiyo michezo tunaijua sana na hata mimi nimepita huko na nimefanya ukweli ni kwamba walimu wa dar wahuni wanajali hela za kitengo ila kufundisha watoto ni uhuni mtupu....kipindi cha mfungo ndio utajua sio kufundisha bali ni miradi ya watu imagine mtoto kafunga lakini mwalimu anamchapa bakora aje na ela ya chakula...na hii michezo ipo shule zote za dasalamu za serikali

Ni vile mtoto wangu hawezi kusoma kayumba ila mtoto wangu mngemuheshimu.
 
Walimu wote Tanzania wameambukizana hiyo tabia ya kujipatia vipato kwa njia haramu.These people are purely bandits!
 
Kabla ht ya
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?

Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+

Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma wanachangia 500. Hapa wanakuja walimu 2. Kwahiyo kwa mwezi anakuja Jumamosi 2.

Akikusanya Alhamis nne na Jumamosi mbili hakosi laki 4+.

Serikalini humu ni taasisi chache sana mtu anaweza kupata posho ya kiasi hiki.

Tena maeneo mengine ni kavu kavu hakuna hata mia mbovu unapokea mshahara mwezi unasubiri mwingine mwezi ujao.
Ht kabla ya kusoma huu upuuzi wako labda mpumbavu km wewe anaweza kumbeza na kumdharau mwalimu.
 
Maisha ni magumu jamani kama wanakusanya na wanafundisha let them as long as hailiwi bure inafanyiwa kazi just let them
 
Back
Top Bottom