Walimu wa mjini wanaweza kuwa na posho kubwa kuliko watumishi wengi wa serikali

Walimu wa mjini wanaweza kuwa na posho kubwa kuliko watumishi wengi wa serikali

Kabla ht ya
Ht kabla ya kusoma huu upuuzi wako labda mpumbavu km wewe anaweza kumbeza na kumdharau mwalimu.
Kama una watoto waulize ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?
Wakikutajia mwalimu basi ujue Mpina atashinda Urais mwaka huu.
Ni rahisi Mpina kuwa Rais kuliko mtoto kutaka kuwa mwalimu
 
Siku hizi hukosi vimikebe viwili vitatu kwenye parking ya shule za msingi na sec hasa za mijini.

Siyo mbaya hata kama ni namba za nyuma aka "age go".
 
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?

Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+

Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma wanachangia 500. Hapa wanakuja walimu 2. Kwahiyo kwa mwezi anakuja Jumamosi 2.

Akikusanya Alhamis nne na Jumamosi mbili hakosi laki 4+.

Serikalini humu ni taasisi chache sana mtu anaweza kupata posho ya kiasi hiki.

Tena maeneo mengine ni kavu kavu hakuna hata mia mbovu unapokea mshahara mwezi unasubiri mwingine mwezi ujao.
Kama wanachukua hizo pesa na watoto wanasoma na kuelewa hakuna shida
 
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?

Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+

Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma wanachangia 500. Hapa wanakuja walimu 2. Kwahiyo kwa mwezi anakuja Jumamosi 2.

Akikusanya Alhamis nne na Jumamosi mbili hakosi laki 4+.

Serikalini humu ni taasisi chache sana mtu anaweza kupata posho ya kiasi hiki.

Tena maeneo mengine ni kavu kavu hakuna hata mia mbovu unapokea mshahara mwezi unasubiri mwingine mwezi ujao.

Ni fani gani ambayo hakuna watu wachache wanaopata hela?

Mbona nina jamaa mtaani huwa namuona na gari mara moja moja hasa weekend kumbe ni gari la boss mzungu na anamlipa milioni 5 kwa mwezi huku anagharamia malazi hoteli kubwa, safari, chakula na mara kadhaa anamtuma na gari mikoani peke yake na uko njiani anakusanya abiria, mafuta anajikadiria.

Kwahiyo nitoe conclusion kuwa madereva wanapata mshahara kuliko madaktari na wakandarasi, kisa wawili watatu ninaojua wanalipwa vizuri wakati maelfu wanalipwa around 500k?

Mr. Tutor wewe fundisha hakuna anayekudharau. Na akikudharau hakupunguzii kitu ishi maisha yako acha kujifariji.
 
Hiyo ni Nchi nzima kwa sasa, walimu wanakamua tyuuh pesa za wanafunzi watakavyo.
Lol
 
Walimu matapeli sana hiyo michezo tunaijua sana na hata mimi nimepita huko na nimefanya ukweli ni kwamba walimu wa dar wahuni wanajali hela za kitengo ila kufundisha watoto ni uhuni mtupu....kipindi cha mfungo ndio utajua sio kufundisha bali ni miradi ya watu imagine mtoto kafunga lakini mwalimu anamchapa bakora aje na ela ya chakula...na hii michezo ipo shule zote za dasalamu za serikali

Ni vile mtoto wangu hawezi kusoma kayumba ila mtoto wangu mngemuheshimu.
Wazazi / walezi huwa wanalalamika kuhusu hilo lkn mitandaoni wanaambiwa wanapenda Elimu Bure na hakuna cha bure
 
Sasa hiyo nayo ni hela ya kumfanya mtu ajimwambafai?
 
Ni fani gani ambayo hakuna watu wachache wanaopata hela?

Mbona nina jamaa mtaani huwa namuona na gari mara moja moja hasa weekend kumbe ni gari la boss mzungu na anamlipa milioni 5 kwa mwezi huku anagharamia malazi hoteli kubwa, safari, chakula na mara kadhaa anamtuma na gari mikoani peke yake na uko njiani anakusanya abiria, mafuta anajikadiria.

Kwahiyo nitoe conclusion kuwa madereva wanapata mshahara kuliko madaktari na wakandarasi, kisa wawili watatu ninaojua wanalipwa vizuri wakati maelfu wanalipwa around 500k?

Mr. Tutor wewe fundisha hakuna anayekudharau. Na akikudharau hakupunguzii kitu ishi maisha yako acha kujifariji.
Mimi sio mwalimu!
Lakini ninachotaka kusema hapa Kuna watumishi wa umma ambao sio walimu tarehe 1 hadi tarehe 30 ofisini hapati hata mia moja na mazingira ya kazi hayamruhusu kupata hata buku moja zaidi ya mshahara wake.
 
Sasa hiyo nayo ni hela ya kumfanya mtu ajimwambafai?
Ukiwa kwenye utumishi wa Umma utaelewa Kama laki nne ni kitu au sio kitu.
Nina hakika 60% ya watumishi wa Umma hawapati hiyo
 
Umenikumbusha enzi za mitihani ya ujirani mwema miaka ya 2004 hadi 2006 hivi tulikua tunaenda na 50 za kulipia mtihani. Kazi ya ualimu inahitaji mtu awe na maono unaweza jenga hadi shule.

Kama ni mwalimu unahitaji mpango wa biashara wa kujenga shule tutumie email: [email protected]
 
Back
Top Bottom