Kama una watoto waulize ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?Kabla ht ya
Ht kabla ya kusoma huu upuuzi wako labda mpumbavu km wewe anaweza kumbeza na kumdharau mwalimu.
πππ posho za alhamisi na jmosiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ mbona poshoπββοΈ
Eeeeh jamani, toeni pesa bwana. Buku sio ya kumnyima mwalimu.Walimu wote Tanzania wameambukizana hiyo tabia ya kujipatia vipato kwa njia haramu.These people are purely bandits!
Yaani ikishahusisha kufundisha na kusahihisha, basi hiyo posho siitakiπ€£π€£π€£πππ posho za alhamisi na jmosi
Kama wanachukua hizo pesa na watoto wanasoma na kuelewa hakuna shidaNi kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?
Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+
Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma wanachangia 500. Hapa wanakuja walimu 2. Kwahiyo kwa mwezi anakuja Jumamosi 2.
Akikusanya Alhamis nne na Jumamosi mbili hakosi laki 4+.
Serikalini humu ni taasisi chache sana mtu anaweza kupata posho ya kiasi hiki.
Tena maeneo mengine ni kavu kavu hakuna hata mia mbovu unapokea mshahara mwezi unasubiri mwingine mwezi ujao.
Ndo maana walimu wanakua wapinzani wa wanafunzi πππEeeeh jamani, toeni pesa bwana. Buku sio ya kumnyima mwalimu.
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?
Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+
Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma wanachangia 500. Hapa wanakuja walimu 2. Kwahiyo kwa mwezi anakuja Jumamosi 2.
Akikusanya Alhamis nne na Jumamosi mbili hakosi laki 4+.
Serikalini humu ni taasisi chache sana mtu anaweza kupata posho ya kiasi hiki.
Tena maeneo mengine ni kavu kavu hakuna hata mia mbovu unapokea mshahara mwezi unasubiri mwingine mwezi ujao.
π€£π€£π€£π€£ wafanye maisha yawe mepesi kwakweli.
Tupate hela za michezo na vicobaπ€£π€£π€£π€£ wafanye maisha yawe mepesi kwakweli.
Wazazi / walezi huwa wanalalamika kuhusu hilo lkn mitandaoni wanaambiwa wanapenda Elimu Bure na hakuna cha bureWalimu matapeli sana hiyo michezo tunaijua sana na hata mimi nimepita huko na nimefanya ukweli ni kwamba walimu wa dar wahuni wanajali hela za kitengo ila kufundisha watoto ni uhuni mtupu....kipindi cha mfungo ndio utajua sio kufundisha bali ni miradi ya watu imagine mtoto kafunga lakini mwalimu anamchapa bakora aje na ela ya chakula...na hii michezo ipo shule zote za dasalamu za serikali
Ni vile mtoto wangu hawezi kusoma kayumba ila mtoto wangu mngemuheshimu.
Mimi sio mwalimu!Ni fani gani ambayo hakuna watu wachache wanaopata hela?
Mbona nina jamaa mtaani huwa namuona na gari mara moja moja hasa weekend kumbe ni gari la boss mzungu na anamlipa milioni 5 kwa mwezi huku anagharamia malazi hoteli kubwa, safari, chakula na mara kadhaa anamtuma na gari mikoani peke yake na uko njiani anakusanya abiria, mafuta anajikadiria.
Kwahiyo nitoe conclusion kuwa madereva wanapata mshahara kuliko madaktari na wakandarasi, kisa wawili watatu ninaojua wanalipwa vizuri wakati maelfu wanalipwa around 500k?
Mr. Tutor wewe fundisha hakuna anayekudharau. Na akikudharau hakupunguzii kitu ishi maisha yako acha kujifariji.
Ukiwa kwenye utumishi wa Umma utaelewa Kama laki nne ni kitu au sio kitu.Sasa hiyo nayo ni hela ya kumfanya mtu ajimwambafai?