Walimu wa Sekondari wamegeuka Ma-Predator. Wanafunzi wanawatesa kimyakimya!

Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college wenye swagga za “boss,” wamegeuka wanaume wa mtaani ndani ya staffroom. Badala ya kufocus kwenye books na future ya watoto wa watu, wako busy na mission za kutega, kudanganya na kuharibu life ya mabinti wa shule.

Unajua game yao? Wanakupiga psychology chafu, wanajifanya marafiki, wanakupa special treatment, halafu kidogo kidogo unaanza kuona messages za “unapendeza sana”, “naona umevaa vizuri today”, halafu boom! Wameshakuseti kwenye trap yao.

Na this is the messed-up part – wanajua kabisa wanafunzi wengi hawatasema chochote. Why? Kwa sababu wanaogopa kufeli, wanaogopa kubezwa, wanaogopa kutukanwa. Na worst of all, jamii imezoea kulalia issue kama hii kama vile ni kitu cha kawaida. Hell no! Hii ni toxic culture na tunapaswa kuivunja.

Wengine hata wanaenda mbali, wanaahidi matokeo mazuri au kusaidia kwenye projects za shule in exchange for "love." Bruh, that's not love, that’s abuse on some manipulative shit. Na mtu mzima akidanganywa na mtoto wa miaka 16 then akaamua kumharibu – that’s a whole coward move. Period.

Na kama bado unatafuta excuses kwamba “binti ndiye alianza,” then you ain’t no man, you’re just weak. Teacher gani anashindwa kudraw boundaries? Kwani shule ni night club? Unataka attention za high school girls kama nani?

Let this sink in – waalimu ni watu wa kuaminika, role models, siyo ma-baby daddies wa shule. Kama umejichanganya hadi hujui tofauti ya kazi na tamaa zako za low budget, then you got no business kufundisha.

Jamii lazima isimame. Wazazi, walimu wenzenu, wanafunzi wenyewe – mtoboe ukweli. Hii ishu haifai kufunikwa. Na msiogope kusema, maana mkiendelea kunyamaza, mabinti wataendelea kuwa victims, kila mwaka, kila shule.

Wale waliowahi kushuhudia haya au mmekuwa victims – drop your truth hapa kwenye huu uzi. Tupasue jipu kabla halijaleta madhara zaidi. Respect kwa waalimu wa kweli, lakini wale fake-ass predators – your time is up.
Let’s clean up this mess. Fast.
Nilikuwa nawaamini sana walimu, ila kwa Sasa hapana

Rayns
 
Ni familia nyingi sana ambazo zina watoto wa kike mama anapendeza kwa hisani ya binti yake ambaye yuko kidato cha pili.
Baba ukitaka kushitukia mchongo mkeo anakujibu kuwa nimemtuma kwa mama Mwajabu kupeleka rejesho na hapohapo anamjulisha kwa simu kuwa Mcharuko kacharuka muambie mwenzio akuruhusu mapema. Mama anamtuma binti yake kwa hawala zake wanaokusaidia kumpendezesha,binti naye ana tumia hiyo nafasi kuwatambulisha wa hisani wake.

Sasa hapo ni mwendo wa mfichano tu mpaka kilele cha furaha yao pale utakapo fariki rasimi kutokana na msongo wa mawazo.
Inasikitisha kwa kweli.
 
Mtusamehe tu mabinti wa shule wanapagawisha sana siku nenda zanaki,au jangwani au kisutu utazame mitoto,heri tu ufungwe jela
 
Kwani hao watoto hawapati raha????
Kama wanapata wivu umetoka wapi??
Kama hawapati we inakiuka nini???
 
Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college wenye swagga za “boss,” wamegeuka wanaume wa mtaani ndani ya staffroom. Badala ya kufocus kwenye books na future ya watoto wa watu, wako busy na mission za kutega, kudanganya na kuharibu life ya mabinti wa shule.

Unajua game yao? Wanakupiga psychology chafu, wanajifanya marafiki, wanakupa special treatment, halafu kidogo kidogo unaanza kuona messages za “unapendeza sana”, “naona umevaa vizuri today”, halafu boom! Wameshakuseti kwenye trap yao.

Na this is the messed-up part – wanajua kabisa wanafunzi wengi hawatasema chochote. Why? Kwa sababu wanaogopa kufeli, wanaogopa kubezwa, wanaogopa kutukanwa. Na worst of all, jamii imezoea kulalia issue kama hii kama vile ni kitu cha kawaida. Hell no! Hii ni toxic culture na tunapaswa kuivunja.

Wengine hata wanaenda mbali, wanaahidi matokeo mazuri au kusaidia kwenye projects za shule in exchange for "love." Bruh, that's not love, that’s abuse on some manipulative shit. Na mtu mzima akidanganywa na mtoto wa miaka 16 then akaamua kumharibu – that’s a whole coward move. Period.

Na kama bado unatafuta excuses kwamba “binti ndiye alianza,” then you ain’t no man, you’re just weak. Teacher gani anashindwa kudraw boundaries? Kwani shule ni night club? Unataka attention za high school girls kama nani?

Let this sink in – waalimu ni watu wa kuaminika, role models, siyo ma-baby daddies wa shule. Kama umejichanganya hadi hujui tofauti ya kazi na tamaa zako za low budget, then you got no business kufundisha.

Jamii lazima isimame. Wazazi, walimu wenzenu, wanafunzi wenyewe – mtoboe ukweli. Hii ishu haifai kufunikwa. Na msiogope kusema, maana mkiendelea kunyamaza, mabinti wataendelea kuwa victims, kila mwaka, kila shule.

Wale waliowahi kushuhudia haya au mmekuwa victims – drop your truth hapa kwenye huu uzi. Tupasue jipu kabla halijaleta madhara zaidi. Respect kwa waalimu wa kweli, lakini wale fake-ass predators – your time is up.
Let’s clean up this mess. Fast.
Uko sahihi sana mkuu,nimeona hili mwaka huu january wakati namfanyia mtoto wa dada yangu uhamisho frm sengerema to shule moja mwanza.umepita mule mule kama nilivyoona
 
mzee

wataharibu watoto wa watu nd everything ila WASISHIKWE

wakishikwa mzazi atahakikisha ananyea debe
 
Mwalimu kuwa na mahusiano na mwanafunzi sio kuvunja sheria?

Achilia mbali kuwa na mahusiano bali ile psychological abuse tu ni kosa kisheria. Wataishia jela maana kila mwaka walimu kadhaa huishia jela kwasababu mbalimbali ikiwemo ubakaji,ulawiti, vipigo kwa watoto nakadhalika.
mkuu

asishikwe aisee

atapigwa 30years ndani
 
Dah Sema mabinti siku hizi wamehalibika Sana kuna siku nipo shambani kwangu mkoa wa pwani wanafunzi wanapita mazungumzo Yao ni kuwa kuna mwalimu anamtaka mmoja wao halafu mwalimu mwenyewe kibamia,niliishia kusikitika sana
 
mkuu

asishikwe aisee

atapigwa 30years ndani
Walimu wapumbavu waendekeza nyeg,e ni wateja wetu wa uhakika na wa kudumu mahakamani.

Hata kama wanatuletea hela kama wateja wetu lakini huwa tunawasihi kibinadam kuachana na vitendo vyovyote vinavyokwenda kinyume na sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya taaluma yao ila ni sikio la kufa.
 
siku hizi wanacheck mtoto kama ni wa single mother ndio victims wao wakuu

mtoto anaetoka kwa baba na mama ni more dangerous kwao maana baba akijua tu huyo mwalimu ni lazima kwa hooks and crooks lazima aozee jela

wazazi hasa wababa dont take things easy kabisa

waache wafanye huu mchezo until its not fun anymore ndio watajua 30years ni real

wacha yaozee jela kabisa

mimi yasiingie kwenye 18 zangu,nitahonga kila kitu yaozee jela kabisa
 
Destroyers are not builders .

Kama Una hela Shule za Serikali sio za kumpeleka mtoto wako.

Elimu za bure za sisiemu zinazalisha takataka kuanzia walimu hadi wanafunzi.
 
Kwa hiyo unamaanisha walimu wa sasa ni wabakaji kwa wanafunzi?Je una ushahidi wa haya uyasemayo na umeyashuhudia kwenye shule ngapi yakifanyika?Na hata kama ulishuhudia kwenye shule moja au hata kwa mwanafunzi mmoja je ulichukua hatua gani?maana kwa maelezo yako umedai huwa wanatumia simu kutuma meseji kwenye simu za wanafunzi kwa nini hizo meseji zisingetumika kama ushahidi kumuonya huyo mwalimu anayefanya hivyo?
 
Back
Top Bottom