Walimu wa Sekondari wamegeuka Ma-Predator. Wanafunzi wanawatesa kimyakimya!

Nilikuwa nawaamini sana walimu, ila kwa Sasa hapana

Rayns
 
Inasikitisha kwa kweli.
 
Mtusamehe tu mabinti wa shule wanapagawisha sana siku nenda zanaki,au jangwani au kisutu utazame mitoto,heri tu ufungwe jela
 
Kwani hao watoto hawapati raha????
Kama wanapata wivu umetoka wapi??
Kama hawapati we inakiuka nini???
 
Uko sahihi sana mkuu,nimeona hili mwaka huu january wakati namfanyia mtoto wa dada yangu uhamisho frm sengerema to shule moja mwanza.umepita mule mule kama nilivyoona
 
mzee

wataharibu watoto wa watu nd everything ila WASISHIKWE

wakishikwa mzazi atahakikisha ananyea debe
 
mkuu

asishikwe aisee

atapigwa 30years ndani
 
Dah Sema mabinti siku hizi wamehalibika Sana kuna siku nipo shambani kwangu mkoa wa pwani wanafunzi wanapita mazungumzo Yao ni kuwa kuna mwalimu anamtaka mmoja wao halafu mwalimu mwenyewe kibamia,niliishia kusikitika sana
 
mkuu

asishikwe aisee

atapigwa 30years ndani
Walimu wapumbavu waendekeza nyeg,e ni wateja wetu wa uhakika na wa kudumu mahakamani.

Hata kama wanatuletea hela kama wateja wetu lakini huwa tunawasihi kibinadam kuachana na vitendo vyovyote vinavyokwenda kinyume na sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya taaluma yao ila ni sikio la kufa.
 
siku hizi wanacheck mtoto kama ni wa single mother ndio victims wao wakuu

mtoto anaetoka kwa baba na mama ni more dangerous kwao maana baba akijua tu huyo mwalimu ni lazima kwa hooks and crooks lazima aozee jela

wazazi hasa wababa dont take things easy kabisa

waache wafanye huu mchezo until its not fun anymore ndio watajua 30years ni real

wacha yaozee jela kabisa

mimi yasiingie kwenye 18 zangu,nitahonga kila kitu yaozee jela kabisa
 
Destroyers are not builders .

Kama Una hela Shule za Serikali sio za kumpeleka mtoto wako.

Elimu za bure za sisiemu zinazalisha takataka kuanzia walimu hadi wanafunzi.
 
Kwa hiyo unamaanisha walimu wa sasa ni wabakaji kwa wanafunzi?Je una ushahidi wa haya uyasemayo na umeyashuhudia kwenye shule ngapi yakifanyika?Na hata kama ulishuhudia kwenye shule moja au hata kwa mwanafunzi mmoja je ulichukua hatua gani?maana kwa maelezo yako umedai huwa wanatumia simu kutuma meseji kwenye simu za wanafunzi kwa nini hizo meseji zisingetumika kama ushahidi kumuonya huyo mwalimu anayefanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…