Walimu wa Sekondari wamegeuka Ma-Predator. Wanafunzi wanawatesa kimyakimya!

Hakika mkuu.
 
Kipindi nasoma Kuna madam nilikuwa namuamini sanaaaaa, ila alipoanza kuleta mambo ya ajabu nikamdharau na kuwadharau walimu Toka HAPO..
Acha uongo mkuu πŸ˜… eti madam alianza kuzingua hahaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜
 
Watoto legelege kama hawa,walimu ongeza kasi ya kuwanyoosha ili baadaye kiwe kizazi chenye kujiamini na kudai haki yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…