DOKEZO Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ccm mbere kwa mbere
 
Aisee hii shule kipindi flani ilikimbiza mno.

Ila kwa sasa Imebakia majengo tu.

Na kwa vitendo kama hivi ndio wanaimalizia kabisa.
 
Ingekua issue ya CHADEMA ungeona how pro active they are!
 
Nimesikia moyo kama umeunguzwa na moto ghafla hebu ninyamaze hivi kweli hata huyo mkuu wa kituo anapata wapi ujasiri wa kula rushwa kesi kama hiyo? Ni unyama kiasi gani huu? Hivi huyo mama akimvia huyo mwalimu akamchomeka bisu la tumbo ndio utaona serikali inaamka 😪😪😪
 
Hawa walimu hawaoni mashangazi wamejaa mtaani? Majinga sana haya!
 
kobaz boy saleh ayoub ni mbakaji hodari mazee...kitaa sifa zake zinajulikanaa
 
Inaumiza sana. Si vyema watoto wa primary schools kukaa boarding bado wadogo kuhimili changamoto. Wazazi badilikeni.
Mtoto wa darasa la kwanza kukaa boarding kweli? Na mzazi unalala na unapata usingizi kabisa? Au mnakwepa majukumu ya malezi kwa kuwapeleka boarding?
 
Duh! hii Hatari, mwanangu hatasoma boarding, imefika hatua kila mtu apambane na watoto wake maana hakuna wa kumuamini
 
Na kwanini mwalimu anaendelea kwenda kazini? usalama wa wanafuynzi wengine upo wapi?
 
Ifike mda watanzania tujiongoze wenyewe, serikali imekuwa haina meno tena kwenye masuala ya kijamii..

Watu wa aina hii ni wakuwaua tu... 👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺
 
Wakuu hii issue iliishia wapi??je hyo mbakaji bado yuko mtaani mpk sasa??
 
Kama mwanangu nasema ivi aliefanya ivo atakoma naacha ipite hata miaka kadhaa theni ataenda na uji
 
Hivi tufanye nini hizi kesi ziwezwe kutatuliwa bila kauli za Waziri, kwani watendaji wote hao wanatumia kodi za wananchi mwaka hadi mwaka nini wanafanya ?
kuwateka tu, then anasuguliwa nje ndani mpaka akate mauno....shenzi sana...hii kitu inaumiza sana. Natamani wazazi wawatoe watoto wao hapo iwe fundisho.
 
kuwateka tu, then anasuguliwa nje ndani mpaka akate mauno....shenzi sana...hii kitu inaumiza sana. Natamani wazazi wawatoe watoto wao hapo iwe fundisho.
Nani anawakingia kifua??hyo ni kesi kubwa sana mpk sasa hawakustahili kuwa uraiani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…