DOKEZO Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

DOKEZO Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi unawekaje mtoto wa darasa la 5 boarding? Mtoto asiyejitambua, asiyejua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini? Unategemea alelewe na nani, afundishwe na nani, na alindwe na nani? Wewe mzazi una nini cha maana hapa duniani zaidi ya kulea mtoto wako ili aje kuwa mtu bora hapo baadae?

Kosa sio la huyo msenge tu bali kosa la wazazi pia. Hayo yote yasingetokea kama mzazi angetekeleza wajibu wake. Huyo mpuuzi alitakiwa awe jela sasa hivi au amepotea kusikojulikana.
 
Vaa yake tu inaonesha huyu ticha ni jinga kabisa.masuti ya njano na soksi nyeupe aisee ukute limevaa boksa ya pink.jinga kabsa
 
Aisee hii shule kipindi flani ilikimbiza mno.

Ila kwa sasa Imebakia majengo tu.

Na kwa vitendo kama hivi ndio wanaimalizia kabisa.
Nimesikitika sana mkuu. Nilisoma hapo enzi Bujugo yupo Hai ilikuwa poa sana bata sana. If I am not mistaken Bujugo na Mkewe Walishatangulia Mbele Ya Haki Watoto Wameshindwa Kuziendeleza Assets Wakishua Sana
 
Back
Top Bottom