Hivi unawekaje mtoto wa darasa la 5 boarding? Mtoto asiyejitambua, asiyejua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini? Unategemea alelewe na nani, afundishwe na nani, na alindwe na nani? Wewe mzazi una nini cha maana hapa duniani zaidi ya kulea mtoto wako ili aje kuwa mtu bora hapo baadae?
Kosa sio la huyo msenge tu bali kosa la wazazi pia. Hayo yote yasingetokea kama mzazi angetekeleza wajibu wake. Huyo mpuuzi alitakiwa awe jela sasa hivi au amepotea kusikojulikana.