May be tofauti inatokana na ukweli kwamba kazi ya ualim haina risk ya ushindani ktk kutafuta kazi (almost direct employment), na fani ya ualim imewekwa as a lee way kwa waliofeli au wanao ogopa ushindani wa kutafuta kazi, unlike fani zingine nyingi.
Hata udaktari ni wito.
Je unajua kuna watu wengi ambao ni vichwa na wana wito wa kuwa walimu lakini hawaendi ualimu kwa sababu mishahara ni midogo, hawa ni watu ambao kama wangeenda ualimu tungekuwa na elimu bora tusingekuwa na wanafunzi wanaohitimu bila kujua kusoma au kuandika au bila kuweza ku practice walichosomea.
Kama serikali haitatatua tazizo la mishahara ya walimu, tutaendelea kuwa na wahitimu bogus na hatutatoka kamwe.