Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa wewe inakuaje tena? halafu unaandika idea kama zangu kha!May be tofauti inatokana na ukweli kwamba kazi ya ualim haina risk ya ushindani ktk kutafuta kazi (almost direct employment), na fani ya ualim imewekwa as a lee way kwa waliofeli au wanao ogopa ushindani wa kutafuta kazi, unlike fani zingine nyingi.
WAKO TAYARI, UALIMU NI WITO SIO MSHAHARA. Halafu mkuu angalia hapo juu neno lililopigiwa mstari....!