Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
20220501_113748.jpg
 
watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu waoga, wajjinga na wapuuzi wasio na matumaini yeyote?
Hata ukiwa na akili zako ukikaa halmashauri kwa mwaka mmoja tu unaanza kuwa mjpuuzi.
unadai kuongezewa mishahara kwa BANGO lililoandaliwa na kuhaririwa na unayemdai usiku?
Nilishawahi kufanya kazi H/W kwa bahati sijawahi shiriki hizo sherehe japo nilikuwa natishwa sana
siku moja usiku nikiwa natoka matembezi nikapita karibu na ofsi za TISS, nikakuta mabango ambayo yatapita kesho yanatolewa ndani na kuingizwa kwenye gari lao niliwadharau sana watu wa TISS na watumishi wa umma.
siyo walimu tu sema wao wengi lakini ni wote kwa ujumla wao
 
Ukweli ni kwamba mtu yoyote anae tegemea kuajilowa mda wake wamaisha anakua na kasoro katika reasoning
 
Hapo watambue kua kila sahani inaandikiwa 17000/=.
Ujinga ni mwingi sana,acha watu wale kwa mgongo wa wajinga.
 
watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu waoga, wajjinga na wapuuzi wasio na matumaini yeyote?
Hata ukiwa na akili zako ukikaa halmashauri kwa mwaka mmoja tu unaanza kuwa mjpuuzi.
unadai kuongezewa mishahara kwa BANGO lililoandaliwa na kuhaririwa na unayemdai usiku?
Nilishawahi kufanya kazi H/W kwa bahati sijawahi shiriki hizo sherehe japo nilikuwa natishwa sana
siku moja usiku nikiwa natoka matembezi nikapita karibu na ofsi za TISS, nikakuta mabango ambayo yatapita kesho yanatolewa ndani na kuingizwa kwenye gari lao niliwadharau sana watu wa TISS na watumishi wa umma.
siyo walimu tu sema wao wengi lakini ni wote kwa ujumla wao
Ungewasilisha maoni yako Kwa lugha ya staha ungeeleweka tu, Haina haha ya kujaa gas.
 
watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu waoga, wajjinga na wapuuzi wasio na matumaini yeyote?
Hata ukiwa na akili zako ukikaa halmashauri kwa mwaka mmoja tu unaanza kuwa mjpuuzi.
unadai kuongezewa mishahara kwa BANGO lililoandaliwa na kuhaririwa na unayemdai usiku?
Nilishawahi kufanya kazi H/W kwa bahati sijawahi shiriki hizo sherehe japo nilikuwa natishwa sana
siku moja usiku nikiwa natoka matembezi nikapita karibu na ofsi za TISS, nikakuta mabango ambayo yatapita kesho yanatolewa ndani na kuingizwa kwenye gari lao niliwadharau sana watu wa TISS na watumishi wa umma.
siyo walimu tu sema wao wengi lakini ni wote kwa ujumla wao
Mimi ni Namba moja ktk hao unaowadharau.Mimi ukinidharau na huku familia yangu ina uhakika wa kwenda chooni,sioni shida.Nitukane tusi lolote lile unalolitaka wewe lkn km maisha yanasonga siwezi kuchukia, Zaidi ya kumshukuru MUNGU kwa kunijalia kupata ajira.
 
Mbona mnawatukana sana walimu tena kwa kushindwa kuandika barabara?Mnaonesha ni jinsi gani mlivyo wajinga ninyi kuliko wao.Hakika mngekuwa bado shule mngepigwa bakora mpaka mjue kuandika hahahaaaaa.

Poleni kwa hiyo chuki yenu, Mungu awasaidie ziwaishe.

Kuweni na heshima kwao hata kidogo basi kwani ndiyo waliowatoa ujinga mkajua kusoma na kuandika na kiingereza juu.

Mimi naumia kwasababu baba yangu alikuwa mwalimu.
 
Back
Top Bottom