watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu waoga, wajjinga na wapuuzi wasio na matumaini yeyote?
Hata ukiwa na akili zako ukikaa halmashauri kwa mwaka mmoja tu unaanza kuwa mjpuuzi.
unadai kuongezewa mishahara kwa BANGO lililoandaliwa na kuhaririwa na unayemdai usiku?
Nilishawahi kufanya kazi H/W kwa bahati sijawahi shiriki hizo sherehe japo nilikuwa natishwa sana
siku moja usiku nikiwa natoka matembezi nikapita karibu na ofsi za TISS, nikakuta mabango ambayo yatapita kesho yanatolewa ndani na kuingizwa kwenye gari lao niliwadharau sana watu wa TISS na watumishi wa umma.
siyo walimu tu sema wao wengi lakini ni wote kwa ujumla wao