Walimu wa tempo ni majanga katika sekta ya elimu

Walimu wa tempo ni majanga katika sekta ya elimu

Abdulazizmomba

Senior Member
Joined
May 9, 2015
Posts
189
Reaction score
35
Walimu wa tempo wamekua wakirudisha nyuma suala la ualimu kwa kasi ya ajabu kwani wamekua na tabia ya kuvujisha mitihani kwa wanafunzi haswa walimu wa kiume mara nyingi wamekua na tabia ya kuwapa wanafunzi wa kike mitiani ili kuwanasa katika mtego wa mapenzi.

Kwa hali hii elimu itakua kweli?
 
Sio vema lakini haya ni mapungufu ya kijumlajumla na yapo maeneo mengi ya kazi na si kwa watumishi wa tempo tu. Cliton alitembea na krani wake licha ya nafasi yake ınayohtaji hekima ya hali ya juu sana.

Majeshini huko ndo usimeme, anaweza tunakiwa cheti bila mafunzo.
 
Kikubwa mwl kujitambua uwe wa temp au prmant watt wanatabia ya kuwashobokea walimu we kama mwl jizuie....
 
Walimu wa tempo wamekua wakirudisha nyuma suala la ualimu kwa kasi ya ajabu kwani wamekua na tabia ya kuvujisha mitihani kwa wanafunzi haswa walimu wa kiume mara nyingi wamekua na tabia ya kuwapa wanafunzi wa kike mitiani ili kuwanasa katika mtego as mapenzi.

Kwa hali hii elimu itakua kweli?

Tempo gain? Form 6 leaver au wanaomaliza chuo?
 
Kwani Utempo Wa Mwl Unahusiana Vp Mapenzi?

Hao Wa Permanent Ndo Hawatongozi Au Kuvujisha Mtihani? Rudia Utafiti Wako kiongozi
 
mbona watu wanavujishiwa mitian university sembuse maticha wa tempo.
hii ndio Tz wewe
 
Walimu wa tempo wamekua wakirudisha nyuma suala la ualimu kwa kasi ya ajabu kwani wamekua na tabia ya kuvujisha mitihani kwa wanafunzi haswa walimu wa kiume mara nyingi wamekua na tabia ya kuwapa wanafunzi wa kike mitiani ili kuwanasa katika mtego wa mapenzi.

Kwa hali hii elimu itakua kweli?
destroy the stem to destroy the branch
 
Walimu wa tempo wamekua wakirudisha nyuma suala la ualimu kwa kasi ya ajabu kwani wamekua na tabia ya kuvujisha mitihani kwa wanafunzi haswa walimu wa kiume mara nyingi wamekua na tabia ya kuwapa wanafunzi wa kike mitiani ili kuwanasa katika mtego wa mapenzi.

Kwa hali hii elimu itakua kweli?

No research No RIGHT To speak
 
Last edited by a moderator:
tena hao wa tempo ndo wanafundisha sasa! au wewe hukusoma kayumba? nilikuwa nawakubali sana
 
Back
Top Bottom