Mwalimu mzuri ni yule aliyefanya mtihani wa necta na akafaulu, Universities watu wanatungiwa mitihani na malecturer wanaowafundisha wakiwa wanajua mazingira halisi ya wanafunz wao na namna gani ya kubalance ili mambo yaende. Sioni tatizo sana kwa walimu wa stashahada na astashahada kufail na wala sioni kama tatizo ni kufail form six. Kwani pia tumeona udsm wakidisco zaidi ya wanafunz 500. Mi nasema tatizo ni mfumo wa elimu yetu tu ndo mmbovu. Kuna kila sababu ya kufanya marekebisho makubwa la sivyo tutegemee madudu zaidi. Na ikitokea wanafunz walioko vyuo vikuu wakatungiwa mitihani na walimu wasiowafundisha na wakasahihishwa na walimu wengine aibu yake inaweza kuwa ya karne nzima. Ni mtazamo wangu tu.