Walimu wa vyuo wafeli mitihani vibaya

Walimu wa vyuo wafeli mitihani vibaya

tatizo wengi wanacoment pasipo kujua ilivyo! mimi nimhitimu pia
diploma ya ualimu miaka hii ni ngumu sana
ipo hivi;kwanza ili ufaulu kwa maana ya pass lazima uwe umefaulu masomo yote uliyofanyia mtihan ambayo hayapungui 9 walau kwakiwango cha D=35marks, kibaya zaidi masomo mawili tu ndo unakuwa naujuz nayo kwamaana uliyasoma o'level na A'LEVEL mengine yote (7) unaanza kusoma pale ndan ya miaka 2 toa likizo kaz maalum haifik miwili paper,
tatizo lipo hapa unaweza pata "A" masomo 8 naukapata "F" somo 1 ukaandkiwa SUPP kwamba umechemka na unatakiwa kurudia mtihan na ajira hupati
unaweza ukaona jinsi ugumu ulivyo ukizingatia mtihani wa mwaka huu hasa PSYCHOLOGY na R.E.M ,haikuwa yakawaida aliyefanya au kuona atanshahidia hapa,
sitetei ila inaniuma kudharau ufaulu huo kwani degree hawasup au!
kabla hujaandka kitu nivema ukauliza ipo vp ujue kwanza!
ahsanteni......
 
miaka yanyuma walikuwa hawana mitihani yataifa ukimaliya miaka miwili unapangiwa nowdays wanataka kuipa heshima hii taaluma
 
Mwalimu mzuri ni yule aliyefanya mtihani wa necta na akafaulu, Universities watu wanatungiwa mitihani na malecturer wanaowafundisha wakiwa wanajua mazingira halisi ya wanafunz wao na namna gani ya kubalance ili mambo yaende. Sioni tatizo sana kwa walimu wa stashahada na astashahada kufail na wala sioni kama tatizo ni kufail form six. Kwani pia tumeona udsm wakidisco zaidi ya wanafunz 500. Mi nasema tatizo ni mfumo wa elimu yetu tu ndo mmbovu. Kuna kila sababu ya kufanya marekebisho makubwa la sivyo tutegemee madudu zaidi. Na ikitokea wanafunz walioko vyuo vikuu wakatungiwa mitihani na walimu wasiowafundisha na wakasahihishwa na walimu wengine aibu yake inaweza kuwa ya karne nzima. Ni mtazamo wangu tu.
 
chukua tano hapo hapo! umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom