Walimu waajiriwa wa 2011 tukutane hapa, Serikali imetusahau

Walimu waajiriwa wa 2011 tukutane hapa, Serikali imetusahau

Sasa ndugu nikwamba kusoma hujui ama?
Huo mlolongo wa maelezo ya wanasiasa wewe binafsi umeelewa hao walim tajwa hapo juu waliajiriwa mwaka gani?

Mkuu, inaonekana moja ya vipaji vyako ni ubishi. Kama kwenye huo mlolongo wa maelezo ya wanasiasa hujaona hata hicho👇👇ni shida.

Walimu wote wapya wanaagizwa kuhakikisha kwamba wanaripoti katika Halmashauri/ Vyuo vya Ualimu walikopangwa ifikapo tarehe 24/01/2011. Watendaji na wasimamizi wa elimu kwenye Halmashauri na Vyuo vya Ualimu watakuwepo kuwapokea.

👋👋
 
Sasa ndugu nikwamba kusoma hujui ama?
Huo mlolongo wa maelezo ya wanasiasa wewe binafsi umeelewa hao walim tajwa hapo juu waliajiriwa mwaka gani?

Mkuu usiwe mbishi!

Mimi mi miongoni mwa walimu tulioajiriwa february 2011.

Niliona na poteza muda nika acha na kuja zangu ughaibuni.
 
Mkuu usiwe mbishi!

Mimi mi miongoni mwa walimu tulioajiriwa february 2011.

Niliona na poteza muda nika acha na kuja zangu ughaibuni.

Aisee embu achana naye kilaza huyo, kuna watu wabishi bila hoja, mimi mtoa uzi sijakurupuka nimeajiriwa 2011, alafu aniambie hakukuwa na ajira, bandiko la serikali ambalo lilitumika kama tangazo kwa umma umempatia, bado anabisha. Kuna watu ni wasengerema sana.
 
Back
Top Bottom