Babkey
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 4,836
- 3,659
Sasa ndugu nikwamba kusoma hujui ama?
Huo mlolongo wa maelezo ya wanasiasa wewe binafsi umeelewa hao walim tajwa hapo juu waliajiriwa mwaka gani?
Mkuu, inaonekana moja ya vipaji vyako ni ubishi. Kama kwenye huo mlolongo wa maelezo ya wanasiasa hujaona hata hicho👇👇ni shida.
Walimu wote wapya wanaagizwa kuhakikisha kwamba wanaripoti katika Halmashauri/ Vyuo vya Ualimu walikopangwa ifikapo tarehe 24/01/2011. Watendaji na wasimamizi wa elimu kwenye Halmashauri na Vyuo vya Ualimu watakuwepo kuwapokea.
👋👋