Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Elimu hailipi tuition umfundishe mtoto wa nani acheni kuhadaa ummaMkuu jiongeze , organise na wana hapo kitaani fungueni hata tuition centre hasa hiki kipindi cha likizo,,,,mkiwa vzuri mtapiga hela sana na kituo chenu kitakua na jina !
Serikali haiwezi kuajiri vijana wote hawa
,
Kwa which selection criteria???Kuweni na subra,mambo mazuri hayahitaji haraka .Mkeka utatoka muda sio mrefu.
Nilipo vijja wengi wanauliza tuition za physics na mathElimu hailipi tuition umfundishe mtoto wa nani acheni kuhadaa umma
Fungua uone kama watakuja labda uweke bureNilipo vijja wengi wanauliza tuition za physics na math
Kwanza afisa elimu kata atapafunga maana hawana usajiri.Fungua uone kama watakuja labda uweke bure
Mimi siusiki na kufundisha tuitionFungua uone kama watakuja labda uweke bure
Fungua uone kama watakuja labda uweke bure
Hao mamotivesheni supikazKwanza afisa elimu kata atapafunga maana hawana usajiri.
Ndio tunakuambia sisi tunaohusika sasa hamna mzazi wa kupoteza pesa kumpeleka mtoto wake akasome kiima na kiarifu tusheMimi siusiki na kufundisha tuition
Mikeka unakuja fua begiNdio tunakuambia sisi tunaohusika sasa hamna mzazi wa kupoteza pesa kumpeleka mtoto wake akasome kiima na kiarifu tushe
Haraka haraka haina baraka,,wanaweza wakatoa ukakosa piaUkweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?
Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale waliotangaziwa ajira baadaye waliitwa na kufanya usaili.
Ni Bora wajue wamo au hawamo Ili waendelee na maisha mengine.
Waendelee kuzinguliwa na kukandamizwa hadi uzombi uwatoke.Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?
Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale waliotangaziwa ajira baadaye waliitwa na kufanya usaili.
Ni Bora wajue wamo au hawamo Ili waendelee na maisha mengine.
Kwahio ulisikia mtu anataka ajira ya serikali kwa akili zako unadhani hana wala hafanyi kazi.Mkuu jiongeze , organise na wana hapo kitaani fungueni hata tuition centre hasa hiki kipindi cha likizo,,,,mkiwa vzuri mtapiga hela sana na kituo chenu kitakua na jina !
Serikali haiwezi kuajiri vijana wote hawa
,
Mbwa idiot!
Kwahio ulisikia mtu anataka ajira ya serikali kwa akili zako unadhani hana wala hafanyi kazi.
Low thinking
Ngoja mle Christmas pdf tutatoaAlaf Kwa akili na propaganda hizo wanategemea vitu vya umma viwe na hadhi na viheshimiwe wakat wanatamka Kila siku ukiajiriwa hupati hela. Uzalendo unauawa na watu kama Hawa. Wabinafsi