DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?

Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale waliotangaziwa ajira baadaye waliitwa na kufanya usaili.

Ni Bora wajue wamo au hawamo Ili waendelee na maisha mengine.
 
Hivi million 400 zilipelelekwa wapi mlisema?
 
Mkuu jiongeze , organise na wana hapo kitaani fungueni hata tuition centre hasa hiki kipindi cha likizo,,,,mkiwa vzuri mtapiga hela sana na kituo chenu kitakua na jina !
Serikali haiwezi kuajiri vijana wote hawa
,
Elimu hailipi tuition umfundishe mtoto wa nani acheni kuhadaa umma
 
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?

Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale waliotangaziwa ajira baadaye waliitwa na kufanya usaili.

Ni Bora wajue wamo au hawamo Ili waendelee na maisha mengine.
Haraka haraka haina baraka,,wanaweza wakatoa ukakosa pia
 
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?

Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale waliotangaziwa ajira baadaye waliitwa na kufanya usaili.

Ni Bora wajue wamo au hawamo Ili waendelee na maisha mengine.
Waendelee kuzinguliwa na kukandamizwa hadi uzombi uwatoke.

Hawa siyo wa kuwaombea heri hawa.

Cc: Mpwayungu Village
 
Mkuu jiongeze , organise na wana hapo kitaani fungueni hata tuition centre hasa hiki kipindi cha likizo,,,,mkiwa vzuri mtapiga hela sana na kituo chenu kitakua na jina !
Serikali haiwezi kuajiri vijana wote hawa
,
Kwahio ulisikia mtu anataka ajira ya serikali kwa akili zako unadhani hana wala hafanyi kazi.

Low thinking
 
Alaf Kwa akili na propaganda hizo wanategemea vitu vya umma viwe na hadhi na viheshimiwe wakat wanatamka Kila siku ukiajiriwa hupati hela. Uzalendo unauawa na watu kama Hawa. Wabinafsi

Ngoja mle Christmas pdf tutatoa
 
Back
Top Bottom