Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine?
Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale waliotangaziwa ajira baadaye waliitwa na kufanya usaili.
Ni Bora wajue wamo au hawamo Ili waendelee na maisha mengine.