Walimu waijia juu Serikali, wasema Kikokotoo bado kipo kinasubiri kuwaliza watumishi

Mwenye uchungu ni msaliti wa Nchi Lissu tu, maana anajua malengo kutoka alikotumwa ubeligiji hayatatimia

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
hahahaha pa kuponea hampaoni ..na sio waalimu tu..wapo wengi wana uchungu mkali sana na uchungu wao watauonesha oktoba 28 kwa kumpigia kura Lissu kua rais wa Tanzania kwa miaka kumi mfululizo.
 
Kile kilisubirishwa ili kupisha uchaguzi tu, ndio maana watu wakishatoka kumsikiliza zuchu na diamond ni muhimu sana kuketi kama familia huko majumbani kujadili haya mambo kwa uzito na upana wake na kuacha mbwembwe na mihemiko ili kufanya maamuzi sahihi.

Kwa sababu wakati kikokotoo kitakapokuwa kinafanya yake zuchu, diamond na alikiba watakua wanakula hela za viingilio na matamasha ambazo hazipitii kwenye kikokotoo, hao wabunge nao hivyo hivyo kina pole pole nao hivyo hivyo bwana mkubwa ndio kabisa yeye akimaliza hata hawaulizi ana nyumba hana wanamwongezea kasri lingine na maneema mengine juu, wanyonge wanaendelea kunyong'onyezwa.
 

Wajichanganye wachague tena CCM waone chamoto
 
Usichoelewa ni nini? Sheria ya kikokotoo kipya bado ipo pale pale haijafutwa. Magufuli aliahirisha kutumika kwa sheria hii mbaya ya kionezi ili kupunguza hasira za wafanyakazi kabla ya Uchaguzi huu.

Mwaka 2022 kikokotoo kipya kitaanza kufanya kazi na ndipo kilio cha wafanyakazi kitatanda anga la Tanzania!
 
Walimu Tarehe 28 tumchague Magufuli ili aweze kutupatiamafao yetu na kuendelea kutuboroshea maisha yetu.
 
Lakini watumishi hao hao ndio wanamshangilia magufuri
Ila acha wale matunda ya kujipendekeza
PESA YETU TUNAONA ZINAZOFANYIA SIYO WAKATI WA BUSINESS AS USUAL, HATA AMBAVYO NIMENYIMWA KUPANDISHWA MSHAHARA NA MADARAJA TANGU 2015, PESA HIZO ZIMEJENGEA HOSPITAL, SHULE, BARABARA, BOMBADIA, STIGLER GORGE, SGR NK. KILOHO SAFI MAANA IWAPO NINGEONGEZEWA MSHAHARA ALAFU UFISADI UENDELEE, SISI WATUMISHI WA UMMA TULISHA DHARAULIKA SANA NA WAPIGA DILI, KWA SASA WAPIGA DILI WANATUSAKA KAMA TANZANITE ILI TUWAKOPESHE NA KUWAKOPA KWA RIBA, IN BAYPOT AND FINCA VOICE(MAPIGA DIRI), MKOPO USIOKWISHA WENYE RIBA 100% SHAME ON THEM
 
Ndugu una uhaini rohoni mwako si bure
 
Chama cha walimu kina watu wengi wajinga sn, kinatumika na CCM lakini wanachama wake hawanufaiki hata kidogo
Kwel mkuu mkoan iringa kuna walim wanajiita wazalendo huwaa nawaonea huruma sana wote n ccm zen wakitoka kubwabwaja kwa media wanaaza kunywa bingwa na eagle za buku buku pamoja na vitoko vya jelo jelo
 
Unaposema lazima kikokotoo kijali uhai wa mifuko unamaanisha nini?

Ni pesa yangu, inawekwa kwa miaka isiyopungua 30 ya utumishi wangu uliotukuka. Kwa ujinga wa wanaoweka, wananiambia kuna kikokotoo cha jinsi ya kupata savings zangu? Na pia niache na nyingine kwaajili ya mfuko, miaka 30 walikuwa wanazichimbia chini pesa? Hakuna hata faida iliyotokana na uwekezaji wangu wa miaka 30?

Mnapeana nyumba, mnalipana kufuru, mnajilimbikizia ardhi, hamkati kodi, kwa umri nilioishi, sijaona jema lolote lililofanywa na bunge(pensheni ya 282m kwa miaka 5) au serikali ukilinganisha na jasho walilovuja wananchi.
 
Sekta binafsi Wana Jambo lao 28 October.

FAO la kujitoa

Biashara ya kupora fedha za watu, kuwanyima watu Pesa zao haifai.

FAO la kujitoa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila awamu hii ya mauaji kweli!!! Hizo kelele za bima pia nilizisikia sana.
 
Ccm must go
 
Ewe Mtumishi wa uma, siku ya tarehe 28 October 2020, chagua Tundu Lissu kwa maendeleo yako na ustawi wa maisha yako. Usifanye makosa kuchagua tena Magufuli mwenye roho mbaya kwa watumishi wa umma (Miaka 5 bila nyongeza ya mshahara, bila ya kupandishwa madaraja, bila ajira kwa wahitimu wa vyuo, malimbikizo ya nauli na stahiki mbali mbali).
 
Halafu mtu mwenye elimu yake ampegie kura? Kwa Sera ipi inayomfavour? Kama wafanyakazi watawapigia kura Chama tawala basi elimu kwa wanangu itakua sio kwa ajili ya kuwakomboa Bali kuwafanya watumwa!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
2023 ndio waalimu mnaenda kusokomezwa madole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…