Walimu wakatazwa kubet

Walimu wakatazwa kubet

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.

IMG_3887.jpeg
 
Inabidi watoe mungozo kwa bodi ya hiyo michezo...

Tangazo lisomeke "walimu na walio chini ya miaka 18 haruhusiwi kucheza"

Hivyo ndio mambo yafaa kwenda karne hii na kuwe na jinsi ya kujua wanaocheza wanawezaje kujua ni mwalimu au siyo na hizo app kila mtu anaweka kwenye simu yake ...
Kazi sana sio jambo rahisi
 
Cc: mr pipa tokea pande za njombe.
bora wanifukuze kazi kuliko kuacha kubeti mama samia popote ulipo mimi kama mwalimu nimegoma kuacha kubet mana dharau mmeanza nyiny tumewafundisha kusoma a e i o u leo unaitwa rais lakin mnatuona walimu kama kiaz cha motisha leo mje mtuambie tuache kubeti mnataka tufanye nini oyaa walimu wenzangu ikifikia tarehe 20 pandishen uzi wa mishahara mbona inachelewa mkishapata mpeni man city yanga na livepoor then tukutane bar tungoje tarehe 20 inayofuata kwakwel tungoje penshen mana wanatuona wapuuz oya dj tulete walimu na nyimbo ya marioo -bia tam then malizia na ya hamonize-nikilewa sitaki nigasiwe niaje mtoa mada mbona unatukela,,, asanteeee dj
 
bora wanifukuze kazi kuliko kuacha kubeti mama samia popote ulipo mimi kama mwalimu nimegoma kuacha kubet mana dharau mmeanza nyiny tumewafundisha kusoma a e i o u leo unaitwa rais lakin mnatuona walimu kama kiaz cha motisha leo mje mtuambie tuache kubeti mnataka tufanye nini oyaa walimu wenzangu ikifikia tarehe 20 pandishen uzi wa mishahara mbona inachelewa mkishapata mpeni man city yanga na livepoor then tukutane bar tungoje tarehe 20 inayofuata kwakwel tungoje penshen mana wanatuona wapuuz
mnazingua kwa kweli leo kuna mwenzenu Mwalimu wa field kapost makende yake kule habari na hoja mchanganyiko
 
Nani kawakataza walimu kubet huko Mlele? Cha ajabu utakuta ni maboss wao!

Yaani waalimu mnawaibia stahiki zao, hadi kwenye uandikishaji wapigakura mmewaweka kwa kuwatoza elfu 50 asiyetoa hapati nafasi, mmeona haitoshi hela ya semina mnawalipa 40k badala ya 120k na bado kwenye zoezi lenyewe mtawapiga za kutosha, halafu kubet nako mnawazuia! Mnataka watumishi wa chini wakale polisi? Huwa nawashangaa sana!

Ningekuwa mwalimu ningefelisha sana vitoto vya waajiri wenu wanaojiita wapigakura wenu.

Nawashauri waalimu mbet siku nzima hata kazini ni kucheza na odds tu, huko ndo hakika waajiri wenu hawatowaibia fedha zenu.
 
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.

View attachment 3120288
Imagine unaambiwa hivyo huku umeshasuka mkeka wako mwenyewe na unasubili timu moja tu itiki ubebe kibunda chako..
Kama namuona teacher hapo aliyevaa batiki ya njano na ugoro anamwangalia mkuu wa wilaya kwa madharau kabisa. Ila sijasema amebet jamani🤣🤣🤣🤣
 
bora wanifukuze kazi kuliko kuacha kubeti mama samia popote ulipo mimi kama mwalimu nimegoma kuacha kubet mana dharau mmeanza nyiny tumewafundisha kusoma a e i o u leo unaitwa rais lakin mnatuona walimu kama kiaz cha motisha leo mje mtuambie tuache kubeti mnataka tufanye nini oyaa walimu wenzangu ikifikia tarehe 20 pandishen uzi wa mishahara mbona inachelewa mkishapata mpeni man city yanga na livepoor then tukutane bar tungoje tarehe 20 inayofuata kwakwel tungoje penshen mana wanatuona wapuuz oya dj tulete walimu na nyimbo ya marioo -bia tam then malizia na ya hamonize-nikilewa sitaki nigasiwe niaje mtoa mada mbona unatukela,,, asanteeee dj
Yaan nabeti kistaarabu kwa mwez sikos laki 3 afu anatokea mjinga mmoja ambae hata huwa hatetei maslahi yetu anabwabwaja
 
Alafu mbona jamaa picha yake wameweka mbele kabisa ningekuwa mm ningewashtaki
 
Back
Top Bottom