LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania.
Wanasema ; πππππ
" Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2.
Wazazi wengi sana wanawatoa watoto wao kwenye shule za EMs na kuwapeleka Kayumba kwa sababu watoto wao wataenda sekondary tu kwa kuwa hakuna tena mitihani ya kujipima.
Tunaomba serikali ya Tanzania irudishe mitihani ya darasa la 7 ili sisi walimu wa Kenya tunao fundisha kwenye shule za Ems hapa Tz tupate ajira. Wazazi wanapo watoa watoto wao kwenye shule za EM wanasababisha tukose mishahara kwa sababu sisi mishahara yetu inategemeana na ada za wanafunzi."
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na kundi kubwa sana la wazazi ambao wanawatoa watoto wao kutoka kwenye shule za ENGLISH Mediums na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba..
# Making Kayumba Schools Great Again.
# MAKAGA Campaign.